Recent content by Hizbullah

  1. H

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Mwandishi umeonyesha kutokuelewa utaratibu wa waislamu au huenda unasukumwa na chuki kwa kuandika kwamba "haiwezi kuwa convenient kuwaachia waislamu kuswali Mara tano kwa siku" kwanza Mara nyingi Muda wa masomo ni asubuhi hadi sana sana jioni ambapo katika Muda huo waislamu wanawajibika kuswali...
  2. H

    Heri ya mwaka Mpya 2019

    شكرا جزيلا
  3. H

    Fatma Karume: Sheria inayokataza mapenzi ya jinsia moja imepitwa na wakati

    Ni "to 'leave' in peace" au to "live in peace"? Wakili msomi teh teh teh
  4. H

    Hongera Freeman Mbowe kwa kauli ya kishujaa

    Kumbe chadema ni utume na msalaba? Kwa hyo ni kanisa la kiinjili la Chadema sio eeh.... Sisi haituhusu
  5. H

    Waliohama CHADEMA ili kuunga mkono juhudi waanza kuomba kurudi

    Baa ya vichaa (Bavicha) kazini
  6. H

    Tundu Lissu: Deo Mwanyika na watumishi wengine wa Acacia Mining na wa Serikali kushtakiwa kwa makosa ya kuhujumu uchumi ni habari kubwa sana

    Mbona kwenye suala la kuwakamata wazungu wa Dawasco na kuifukuza kampuni hiyo hamtaji Lowassa ambaye moja kwa moja alihusika kwenye suala Hilo? Au TL anachagua wa kuwakosoa? Au kwa kuwa walimsafisha Lowassa na tuhuma kubwa za ufisadi ambao wao chadema walikuwa wakizunguka nchi nzima kumtangaza...
  7. H

    Godbless Lema: Kesho nitakuwa na mkutano na Wandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Mangi amesikia Kuna Billion 1 sasa kaona akauze sura na atafute Kiki, chezea mmachame wewe!.
  8. H

    Pongezi (za awali) kwa CHADEMA kwa uamuzi mgumu dhidi ya Kubenea na Komu

    Bila ya shaka kosa la hao akina Kubenea na Anthony Komu ni kutaka kugombea uenyekiti. Hiki Chama ukitaka uenyekiti huwezi kubaki salama kama ilivyokuwa kwa akina Aman Kabourou, Chacha Wangwe na Zitto Kabwe.
  9. H

    Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

    Hongera sana mwenyekiti wa zamani wa UVCCM mkoa wa Arusha, umechukua uamuzi sahihi kabisa. Nilijua huwezi kukaa na genge la wapiga deal, genge la wahuni. Karibu Sana nyumbani mshale ukienda porini haujapotea ndio nyumbani kwake. Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
  10. H

    Ubungo Interchange, TAZARA Flyover na Standard Gauge sio moja ya mafanikio ya Magufuli

    Kwani Rais mstaafu Jakaya Kikwete ni wa Chama gani?
  11. H

    Piga Kura: Mkuu wa Mkoa Bora 2018

    Mrisho Mashaka Gambo
  12. H

    Benard Mwakyembe ahamia CCM akitokea CHADEMA

    Nyumbani kumenoga
  13. H

    MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

    Mbosso aliimba "Umenishika pabaya"... Hapa Mbowe kashikwa pabaya ha ha haaa
Back
Top Bottom