elewa tatizo lako vizuri na ulieleze vizuri na uwe na uhakika mtoa huduma sio msaka tonge mana anaweza kukuuzia hata shubiri alimradi apate pesa yako aelewe tatizo lako vizuri akupe dawa inayoendana na tatizo lako
AINA ZA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME
Kwa bahati mbaya, wanaume wengi hukosa tiba sahihi za nguvu za kiume kwa kushindwa kutambua tatizo husika na dawa wanazopewa zinatibu tatizo gani.
Zifuatazo ni baadhi ya matatizo yanayohusishwa na nguvu za kiume:
Kukosa uwezo wa kuendelea baada ya bao la...
je hamkufunzwa heshima na kuchunga kinywa chenu kwa watu kama sisi tunapoongea? sisi hatusemwi vibaya mana tunanguvu za ajabu zinaweza kuharibu maisha yako
je hamkufunzwa heshima na kuchunga kinywa chenu kwa watu kama sisi tunapoongea? sisi hatusemwi vibaya mana tunanguvu za ajabu zinaweza kuharibu maisha yako
Siku hizi kumekua na wimbi kubwa la kuibwa nyota kwa njia ya mapenzi.
Hemu jichunguzeni kuna watu ambao umefanya nao tu mapenzi na kila kitu kinaanza kuharibika kiuchumi nukhsi na ukosefu wa bahati mpaka pesa ya kula inakua ngumu ujue tayar kuna mtu ameiiba nyota yako baada ya kufanya mapenzi...
kwa ujumla ndoto za shuleni ni mbaya na hazina uzuri wowote uwe umefanya mtihani au umeshindwa tafsiri zake zote ni mbaya na ndoto hizi humtokea sanna mtu ambae amepigwa kijicho(hasad) tofautisha hasad na uchawi, kwamba kuna watu walitamani neema zako ziondoke kwako na sababu hukua mtu wa ibada...
Habari ndugu wanajamii
Ningependa kushea nanyi list ya majina matukufu ambayo manabii waliyatumia pia, mfano nabii issa(yesu) aliyatumia majina haya kufanya miujiza mingi hata ya kufufua watu, lakini majina haya yalitumiwa na nabii mussa(moses) kuiamrisha bahari ipasuke, lakini majina haya...
Watu wengi wamekua wanatafuta siri ya mafanikio bila kujua mafanikio yao yapo mikononi mwa nani?
-Kuna watu wanafanikiwa sababu tu wazazi wao wanafurahi kuona wakifanikiwa
-Lakini kuna wengine wanafanikiwa ni kwasababu ya ibada na mungu yupo katika kila jambo lao
-Pia kuna wanaofanikiwa...
Hua zina kazi katika kupandisha bahati ya uchumi , wengine huzitemgeneza na kuweka dukani, wengine hutengeneza kwa kutembea nazo, wengine hutengeneza kuogea zina kazi kubwa, sababu inaaminika peda ya zamani zilishikwa na watu wengi wa zamani waliokua na bahati tofauti hivyo sababu hao watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.