Recent content by hiv positive living

  1. hiv positive living

    7 Most evil people who have ever lived in the World

    Kingereza sijui ila najuta hata kuimbishwa nyimbo za idi amina akifa nitamtupa kagera akaliwe na mamba ,, nakumbuka vike vitabu idi amin akiwa amebeba kikapu mbele kina vichwa vya watu na nyuma miguu ya watu ,, bora siku hizi hakuna mchaka mchaka mashuleni tulipotoshwa sana
  2. hiv positive living

    Ni kwanini waathirika wa UKIMWI tunanyanyapaliwa?

    kitaaa tunakijua vyema 14 yrs kwa game , waache tu waandike hivi ila siri ya kambi ingia jeshini
  3. hiv positive living

    Ni kwanini waathirika wa UKIMWI tunanyanyapaliwa?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dadekiii
  4. hiv positive living

    Natafuta rafiki/mpenzi/mume ambaye ni Hiv +

    dah !! sitaki hata kuhoji sana lisijenikuta jambo
  5. hiv positive living

    Natafuta rafiki/mpenzi/mume ambaye ni Hiv +

    mdogo zaidi yangu ,,,. hh hapana aiseeee asante
  6. hiv positive living

    Natafuta rafiki/mpenzi/mume ambaye ni Hiv +

    Hellow wapendwa , Poleni na majukumu , Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-50 (naomba umri uzingatiwe ),awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi Mimi nina 33yrs, mkristo, sina mtoto, elimu form four ninaishi dar Ps...
  7. hiv positive living

    Hosteli za Magufuli kutumika kama karantini za kuweka wageni kutoka nchi zilizoathiriwa na Corona

    Aiseee ,, akheri HIV jamani kuliko hii corona dah Sent using Jamii Forums mobile app
  8. hiv positive living

    Makonda ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu na hatupaswi kumpuuza kwa upuuzi wake hata kama anatumwa

    Ngoma ikilia sanaaaa vuuum vuumm inakaribia kupasuka! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. hiv positive living

    Natafuta Mume kwa anayeishi na VVU itapendeza zaidi

    Usiongee ukamaliza ,, Sent using Jamii Forums mobile app
  10. hiv positive living

    Natafuta Mume kwa anayeishi na VVU itapendeza zaidi

    Huyo msamehe tu , kakariri maisha , Peace bro Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hiv positive living

    Natafuta Mume kwa anayeishi na VVU itapendeza zaidi

    Bado narudia kipendacho roho Kuna raha vile tutaongea lugha moja na mwenza wangu , Sent using Jamii Forums mobile app
  12. hiv positive living

    Natafuta Mume kwa anayeishi na VVU itapendeza zaidi

    Ya kesho hatuyajui, changamoto yako nzito ,kwangu nyepesi ,kila mmoja na mtizamo uwe hasi ama chanya , Sent using Jamii Forums mobile app
  13. hiv positive living

    Natafuta Mume kwa anayeishi na VVU itapendeza zaidi

    Wala hujakosea ila , ni uchaguzi tu na sio nimebagua hapaana, ni kama vile hutaki mwanamke mweusi si ubaguzi ni uchaguzi wako Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom