Ni kweli kabisa kwamba, watu wengi katika familia nyingi hufanya hizi ibada na hutoa vitu mbalimbali kutegemea na mazingira ya eneo, kama mbuzi, ng'ombe, ndege n.k. kama sadaka. Kitu ambacho kimejificha hapa na wengi wetu huwa hatujui ni kwamba, hizi ni ibada za siri kiuchumi, ambapo madhara...