Nasisi tutupieni hata mifupa kidogo tutawashukuru
Ooooh, ndiyo maana mmebeba kwenye rambo zilizopigwa marufuku! Mungu fanya jambo lako ziwaozee mikononi kwa uchoyo wao.
Viongozi wamegoma makontena yao yabebwe na treni toka bandarini mpaka Kwala, badala yake malori yao yayachukue toka bandarini kwenda nje ya nchi! Hii ni hujuma kubwa inayofanywa na viongozi.
Hayo makubaliano yaliyofanywa na nchi ulizozitaja yalifanyika lini na wapi? Kwani is i mnapenda kuwasemea wengine bila idhini yao? Hizo tabia mbaya za Lucas Mwashambwa na Tlaatlaa(sic) ni mbaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.