Recent content by HiSilicon

  1. HiSilicon

    Why can't guys be like this when they sleep together in one bed?

    Hivi???? Aaah kwanza huo usingizi unaupataje yani mkilala wanaume? Yani unakaa macho makavu mwenzio akitikisa hata sikio tu we tayari umeshika jambia mkononi.
  2. HiSilicon

    MAONI: Kwenye battle ya flagships, hakuna brand inayoizidi Samsung, hata iPhone haishiki moto wa Samsung

    Binafsi najichanga kupata Huawei Pura 70 Ultra mwamba matata sana kwenye Camera
  3. HiSilicon

    Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

    Tena nataka niongeze mke mwingine wapige umbea na bimkubwa hapa home.
  4. HiSilicon

    Msaada. Huawei A20 imekataa kuconnect kwenye hotspot

    Ni njia tu ya Kumdhoofisha China ila hakuna Product ya Ulaya na Marekani yenye features za kibabe kumzidi Huawei
  5. HiSilicon

    Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

    😆😆 Upo nyuma sana
  6. HiSilicon

    Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

    Huawei isharudi kwenye biashara kitambo tu. Kuna project mpya kibao zinakuja mfano siku chache zilizopita Volkswagen walisain mkataba na Huawei (Gari za VW zitumie Harmony OS)
  7. HiSilicon

    Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

    Happiness anatafuta furaha 😁.
  8. HiSilicon

    Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

    Nitaweza kuvumilia makelele ya mashine ya kusaga nafaka ila sio makelele ya mwanamke mdigo 🙌. Wana kauli chafu asee nitakuja tia mtu ulemavu.
  9. HiSilicon

    Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

    Unakuta tujitu twembaba tena kana miba badala ya mifupa na tutako twake kama mbegu za pilipili kanachangia huu uzi
  10. HiSilicon

    Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Daah hamna namna ya kutuma voice note humu 😁 povu likiwa kwa maandishi linakua ngonjera tu
  11. HiSilicon

    Hatua nzuri kwao tecno phantom v fold & galaxy z fold 4 wanachuana vikali samsung wapunguze bei tu

    Lengo langu ni kuonyesha watu kuwa Mediatek wale wa miaka kadhaa nyuma wame advance sana kiasi cha kuchuana na Qualcomm Snapdragon kitu ambacho watu hatukuwaza kuwa Mediatek watafika level hiyo
  12. HiSilicon

    Hatua nzuri kwao tecno phantom v fold & galaxy z fold 4 wanachuana vikali samsung wapunguze bei tu

    Hiyohiyo 8+ twende kwenye AnTuTu Score tukaone nani ana performance nzuri kuliko mwenzie
  13. HiSilicon

    Utafiti: China inaongoza kwa technolojia 37 kati ya 44 duniani

    Tuanze na Android kwanza. Android OS is a Linux-based mobile operating system. Android na Harmony zinafanana Ila Harmony OS it is not a single-device operating system kama Android
  14. HiSilicon

    Utafiti: China inaongoza kwa technolojia 37 kati ya 44 duniani

    Bado kidogo utaona chips za Carbon nanotubes
Back
Top Bottom