Recent content by HIRAMA

  1. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Usafirishaji wa Mizigo kwa Malori Makubwa: Jifunze Uzoefu, Miongozo, Faida na Changamoto Zake

    Nimeogopa gharama za semi trailer nkajua zitakua juu sana.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Usafirishaji wa Mizigo kwa Malori Makubwa: Jifunze Uzoefu, Miongozo, Faida na Changamoto Zake

    Habarini Wanajamvi Mimi ni kijana nina mtaji wa 70m natamani kuagiza fuso na kuja kuifanyia modification hapa ndani ya nchi (Tabata Dampo au Arusha) iwe tandam iweze kubeba tani 18. Sasa nauliza kwa wenye uzoefu na hiyo kazi, wanisaidie gharama za kufanya modification na ushauri kua biashara...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mimi nataka nijikite so naomba wenye uzoefu na kilimo hicho wanisaidie ushauri khs sehemu, aina ya mbegu na namna ya kuhudumia shamba. mtu anichek kwenye 0752 664814
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mawese na Mise

    Nichek kwenye 0752 664814
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Sinza-Kijiweni au Sinza-Lion

    nashkuru mkuu
  6. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Sinza-Kijiweni au Sinza-Lion

    nashkuru mkuu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Sinza-Kijiweni au Sinza-Lion

    Ndio nina familia, nahitaji chumba kisichozidi kodi ya Tsh. 50,000/= kwa mwezi.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Sinza-Kijiweni au Sinza-Lion

    Mimi ni mfanyakazi wa kampun flan hapa Sinza-Lion, kwa hiyo natafuta chumba kimoja cha kuishi maeneo karibu na kazini kwangu. Kwa hiyo wapangishaji wa vyumba au yeyote atakayeweza kunifanikishia hilo ajitokeze.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Nusary na English Medium

    Mimi ni mwalim mzoefu wa kufundisha watoto, natafuta kaz. Naomba tuwasiliane anayeweza kunpatia kazi hiyo.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji FREM

    Wana JF, naomba msaada. Natafuta frem ya biashara ya kuuza nafaka popote pale ndani ya TZ ambapo biashara hiyo itanilipa. Naomba nijulishwe na bei yake.
Back
Top Bottom