Nahitaji FREM

Nahitaji FREM

HIRAMA

Member
Joined
Jun 26, 2012
Posts
10
Reaction score
4
Wana JF, naomba msaada. Natafuta frem ya biashara ya kuuza nafaka popote pale ndani ya TZ ambapo biashara hiyo itanilipa. Naomba nijulishwe na bei yake.
 
Kuna fremu ipo mwenge stand kwa nyuma jirani na flats za Jeshi. Kuna jamaa yangu alitaka kufanya biashara hiyo lakini akawa hayuko vizuri financially na sasa anataka kuitoa. Kama utakuwa interested ni PM ili ukaione.
 
Back
Top Bottom