Recent content by Himosolelo Mbeta

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hii ya Maalim Seif nimeielewa, ila hii ya Lubuva mh!

    kweli kabiaa. Tanganyika yetu iyooooo inarudi
  2. H

    JamiiForums Tanzania Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Muwabaini tafadhali wahusika ili tuwatambue japo tahadhali ilishatolewa na mwanahalisi kuwa hali hiyo ingeweza kutokea. Hamkuchukua tahadhari????
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo amkemea Lowassa

    Inasemekana juzi kati kuna mgombea wa chama X alitoa bahasha imenona na ikapokewa kanisa Katoliki huko Songea mjini, Pengo anajua hilo?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mwanza Tete; Vijana Wa CCM Wang'oa Bendera za CHADEMA

    Hawa jamaa wanalazimisha kupendwa!!!! Itawezekana karne ya leo????? Mie simo!!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ona jinsi Magufuli alivyozomewa leo 22/10/2015

    Hapo mnasisitiza ili muibe kura vizuri, hatuwaachii hata kidogo mmezoea
  6. H

    JamiiForums Tanzania Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    Kumbe basi angeweza kuwasiliana mapema na Kikeke au Zuhura wakae eneo lenye uwanja mkubwa ili muda wa push up ukifika apige tizi la uhakika ili ngeli ipande
  7. H

    JamiiForums Tanzania CCM kutopata kura za watumishi wa serikali

    Nafanya kazi ktk taasisi moja kubwa ya elimu. Tupo walimu 120 na wasio walimu 80. kura zote ni kwa UKAWA, ccm imeshindwa kutulipa madai yetu licha ya kujitapa imelipa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wanaomdharau Kingunge wamekosa adabu

    nani CCM asiye mwizi na fisadi???
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waalimu stand up for your rights

    Walimu ni watu wasiojitambua ndo maana wananyanyaswa kila kona, hela zao zimechukuliwa na CCM bilions za kutosha na wanachekelea tu na wengine wanatumiwa na CCM kwa kazi maalum ya uchaguzi. Wajinga ndio waliwao
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Dk. Wilbrod Slaa kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    Siku hizi hata wasomi wanachanganyikiwa???? Ama kweli anaefilisika hajitambui
  11. H

    JamiiForums Tanzania NAPE: Kuondoka kwa Mzee Kingunge Chama kimepata ahueni

    Nape anamwita mzee wetu "kizee" Ivi huyu kijana mwenzetu haogopi kutukana wazee???? Laana/uchuro huo
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mungu kushusha kikosi maalumu kumlinda Magufuli

    Hakuchaguliwa na Mungu, alichaguliwa na wanaCCM pale Dodoma bila kuwasikiliza wananchi, Sikiliza/soma hotuba ya mzee wetu KINGUNGE utaelewa vizuri
  13. H

    JamiiForums Tanzania Magufuli utawezaje kujenga viwanda vya nyama kila mkoa?

    Ki uhalisia HAIWEZEKANI. Hata ingewezekana, umeme utatoka wapi coz TANESCO imefilisika mgao kila kona ya nchi
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    namba inasomeka fresh. sawa kabisa mzee wetu, Mungu ampe maisha marefu
Back
Top Bottom