Waalimu stand up for your rights

Waalimu stand up for your rights

Walimu waache waliwe tuu, maana hawajielewi kuliko hata wanafunzi wao, kazi kujikomba komba kwa vitenge na madela kama watu wasio na elimu. Nadhani walimu tuwaache tu maisha yawafundishe ili waone jinsi wabavyodanganywa na ccm yao
 
Labda sio walimu wa nchi hii! Waalimu ambao uchaguzi ukija wanagombania ukarani na semina kibao za kuchakachua kura! Baada ya uchaguzi ni kilio ooh madeni madeni!

Waalimu wa nchi hii hawaishi kujikomba komba and they don't think beyond a monthly living na ndio maana wakipata posho ya semina za kuchakachua kura wanazigombania. Wanawaza maisha ya mwezi mmoja tu hawa, waache waliwe tu
 
Walimu waache waliwe tuu, maana hawajielewi kuliko hata wanafunzi wao, kazi kujikomba komba kwa vitenge na madela kama watu wasio na elimu. Nadhani walimu tuwaache tu maisha yawafundishe ili waone jinsi wabavyodanganywa na ccm yao

Huyo aliyewapa ushauri Walimu mwaka mmoja uliopita, leo hii anawatukana walimu na kuitetea CCM..
 
Walimu lazima wabadilike maana wametumika kama kondo. .. kwa mda mrefu sana na serikali hii ya ccm
 
Hivi hizi taarifa zinazotembea kwenye mitandao juu ya cwt kuwapa ccm shilingi bilioni 35 mwaka huu tena bure zina ukweli wowote? Mwenye uhakika atuweke sawa tujue pa kuanzia kwani rais, katibu na naibu katibu mkuu wa cwt tunao kitaa.
 
Ngoja niseme alafu mwisho ntamalizia kwa swali dogo,kuna mradi wa usambazaji umeme vijijini chini ya Rea ila hatuoni wafanyakazi wa Tanesco wakikatwa pesa kufanikisha hili,tunaona kuna chanjo ya rubela na surua imeanza jana ila hakuna mtumishi yeyote wa afya anayekatwa kuchangia chanjo hiyo,aidha tumeona upimaji wa ardhi ukiendelea nchi nzima ila hatujaona watumishi wa ardhi wakibanwa ili kuchangia mpango huo,sasa nauliza tu,imetokea sheria hipi na lini ikaonekana ujenzi wa maabara shuleni eti waalimu wachangie mradi tena kwa mabavu kiasi hicho ama ndo enzi za ukoloni na forms of taxations inarudi upya kwa kuanzia kwenu,ama mna mapesa mengi sana waalimu?


Walimu ni watu wasiojitambua ndo maana wananyanyaswa kila kona, hela zao zimechukuliwa na CCM bilions za kutosha na wanachekelea tu na wengine wanatumiwa na CCM kwa kazi maalum ya uchaguzi. Wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom