Recent content by HIMO

  1. H

    Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    acha ujinga ww unayeshangilia pesa kuchukuliwa na matapeli wa kimataifa,sema tumeshatapeliwa kwa sababu ni lazima kulikuwa na sababu ya iptl na tanesco kufungua ac ili kuweka hizo fedha,je sababu hizo zilikuwa invalid kwa muda hizo pesa zilikombwa?je km mnashabikia kuwa pesa hazikuwa za tanesco...
  2. H

    Makongoro: Mwalimu aliniruhusu kugombea kwa NCCR Mageuzi kuliko kushinikiza CCM kunipitisha

    Lakini watoto wa wanaojiita viongozi wa siku hizi wannagawana kila kilcho cha watanzania kwa kuwa wanalindwa na wazazi wao,wengine ni wauza unga na wengine ni wauza twiga na faru
  3. H

    CHADEMA mnakatisha tamaa

    ww pimbi nenda kalale na lumumba wenzako
  4. H

    Vimemo vya Sitta kwenye Bunge Maalumu la Katiba vyatikisa kwenye mitandao

    majizi yanazidi kuumbuka na bado,hakuna rangi ambayo hawataiona
  5. H

    Utata Waibuka Kesi ya Kubenea Kupinga ya Bunge Maalum la Katiba

    Hivi hili toto la malechela mbona halina akili hivi au ni yale yaliyopatikana kutokana na mkesha wa mwenge nini
  6. H

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Hapo nahitimisha yaliyokuwa yakisemwa kuwa ccm ni chama cha majambawazi,masele mara baada ya kumhonga mkurugenzi wa manispaa ya shinyanga mjini amtangaze kw ndiyo mshindi baadae mgombea wa chadema aliuwawa ktk mazingira tatanishi na mkurugenzi haijulikani alipo mpaka leo
  7. H

    CHADEMA Haina Mamlaka kumzuia yeyote Kuhudhuria BMK! UKAWA ni Kundi/Genge tu, Sio Taasisi Rasmi!

    Hivi ww mzee wa ccm kwanini ikitokea mtu au taasisi ambayo inatetea maslahi ya ni kinyume mnaibuka na majina lukuki?uhalali huja pale watu au kikundi hujadili suala lilokusudiwa bila kuharibu mantiki sasa rutta ccm(tanzania kwanza)wanajadili muungano wanaoutaka sasa haramu hapo nani?
  8. H

    CHADEMA Haina Mamlaka kumzuia yeyote Kuhudhuria BMK! UKAWA ni Kundi/Genge tu, Sio Taasisi Rasmi!

    Kama ukawa ni kikundi haramu na tanzania kwanza ni nini ruttashobo?unapata shida na ukawa kwa sababu kazi wanayoifanya ni kubwa na wananchi tunaielewa na tunaitambua,Leticia ni mwakilishi wa wasaliti au ni msaliti mwenyewe kwani hata JK nyerere alipokuwa anaendesha harakati za uhuru kuna...
  9. H

    Kafulila: Kifo cha Mgimwa kichunguzwe

    hivi ww lizboni huwa unafanya hata shughuli kidogo ya kujipatia kipato kweli?yaani kila thread upo unachangia na muda wowote>au ndiyo buku 7 project?
  10. H

    CCM wamempiga mwandishi wa habari vibaya. IGP Mangu this is the test

    wewe id yako hiyo ni --------
  11. H

    Wenyeviti wa vijiji 5[ccm],wang'olewa na nguvu ya uma iramba.

    kama iramba wanaweza kuondoa mizigo waliopewa na chama mzigo basi ambapo huko ndo ilikuwa ngome ya ccm basi tunakaribia kufika upande wa pili wa tanuru naanza kuuona mwanga
  12. H

    GE2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

    WE chris tatizo lako ni frustration kwani huwa unawaza ujinga tu siku zote.kazi ya kubeba maboksi hujaacha
  13. H

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Kwa kitendo cha dr Asha Rose migiro kuwa waziri katika wizara ya katiba na sheria ni wazi kwamba katiba mpya ndiyo imekwenda na maji na pia vipengele vilivyokuwa vinapingwa na ccm sasa ndiyo vitaondolewa rasmi kwa mfano kipengele kinachozungumzia serikali tatu,huyu mama ni miongoni mwa makada wa...
  14. H

    Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Waliofanya huo ushenzi watakuwa ni polisi watiifu wa ccm ambao wamekuwa wakiisaidia katika maeneo mbalimbali kama kule iringa,morogoro,na hata wanaowabambikia kesi wapinzani kule kigoma.logic ni kuwa wamempiga ili ionekane kundi moja ndani ya chadema limempiga mfuasi wa kundi jingine na...
  15. H

    Wenye akili CHADEMA wapo kimya

    zitto akafie mbele a safari na kama ccm wanaona kaonewa wamchukue mbona wanamtetea akiwa cdm?
Back
Top Bottom