Scania wana-introduce new powertrain, wenyewe wanaiita "Super Powertrain" straight six, 13 litre, aligning with the low revs philosophy. What are your insights on this new product range. Any better than the new top of the range V8's ambazo zita-hit kwenye soko mwakani? ingawa kuna wadosi...
Kuanzia usd $100,000 lakini pia kuna costs nyingine. Mind hiyo ni tractor tu, utahitaji attachments kutegemeana na kazi unayotaka kufanya. Utaona kabisa huo uwekezaji kwa mchumia tumbo wa kawaida ni almost na 'myth' kwake.
Nilijishauaga siku moja nikatinga pale saab scania kuulizia bei ya malori. Niliondoka pale nikiwa najiuliza, hivi nilienda kuulizia bei ya malori au ndege. Ingawa wanatoa option ya financing ni bora mtu ujichangange ununue mtumba cash.
We acha tu chief sijui hawa wenzetu wanakuaga na mitambo ya kuchapishia hela ama vipi. Sema acha tu tuendelee kuchuma-chuma na kudunduliza kidogo kidogo ili kama si sisi basi walau wanetu waje wamiliki hivi vyuma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.