Recent content by hiiiii

  1. H

    JamiiForums Tanzania Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

    Kiasi nawakubali....
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unakumbuka Ulimwengu alizungumza nini na leo yanatokea?

    Inexperienced script writer ....
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko wa uchumi wapamba moto, hali mbaya kwa wafanyabishara wengi wafunga maduka

    Ni kweli kabisa hali ni mbaya sana ya mzunguko wa biashara kwani ni mwaka wa kumi sasa nipo kwenye skta hii lakin nakaribia kuishiwa pumzi... Zamani nilikua kadilio la chin nauza si chini ya milion 2 kwa siku lakin navyoandika nauza laki 2 mpaka 4 kwa siku... Ukizingatia nimeboresha mambo mengi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Uzembe Traffic Moshi: Magari 3 yamegongana KCMC Moshi,nusu saa sasa traffic/polis hawajafika

    Nimepita mida hii saa kumi na mbili bado hakuna msaada wowote wa traffic
Back
Top Bottom