mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
"Akiwa katika mahojiano na kituo cha radio cha DW jana 31.12.2016 Jenerali Ulimwengu ameeleza ni kwa jinsi gani utawala huu ulivyo wa milipuko, kwamba inatokea matamko yanatolewa asubuhi kisha jioni yanabadilishwa".
Note.
Leo Januari Mosi 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezungumzia kuhusu upandishaji wa bei za umeme na kusema anamshukuru sana Waziri wa Nishati na madini kwa kutengua upandishaji wa bei ya umeme.
Note 2.
Nakala ya kuomba bei mpya ya umeme si ilienda wizarani?How come wizara haikushirikishwa kupanga bei au ndo tunachezeana hide and seek game?
Nini maoni yako.