Watanzania hakika tunafurahia sana kuona jinsi mnavyopambana bila kukata tamaa mungu aendelee kusimama na nyie katika kila jambo Hakika hii ndo chadema ambayo nilikuwa natamani itokee siku zote comb ya lisu na john heche nafikirii ndo combination bora ambayo mimi nimeiona tangu nianze...
Ww jamaa mbona taka taka sana yaani bila kuitaja chadema hujisikii vzr yaani kajiuzulu nchimbi ww mdomo wako huo kama kalai la chipsi unawaza tu kuimention chadema na lisu badilika ww kubongo lala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.