Recent content by HHHK

  1. HHHK

    JamiiForums Tanzania Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Tuendelee kuisukuma Agenda ya NRE hadi wateme bungo
  2. HHHK

    JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa duniani, Asante sana Polepole

    Tuombe Mungu afanye jambo hawa kijani wameichezea sana hii nchi
  3. HHHK

    JamiiForums Tanzania DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Upo sahihi sana mkuu kele ni nyingi sana,tupaze sauti
  4. HHHK

    JamiiForums Tanzania DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Kwa sababu wanasema sio mkataba wakati kwenye makaratasi ni mkataba ila midomoni mwao ni makubaliano
  5. HHHK

    JamiiForums Tanzania RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    Ukweli mchungu ,wao wanakomaa kutupotosha ila sisi hatujamkataa mwekezaji wala uwezo wako la hasha sisi tunaogopa terms and condition
  6. HHHK

    JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

    Kila mwenye pumzi apinge huu mkataba kwa njia yeyote hawajamaa wanatumia nguvu nyingi sana kujitetea tusuliukubali huu mkataba Asilani
  7. HHHK

    JamiiForums Tanzania Kwaajili ya Uhai wa Wasio na Hatia Huko Ukraine, Tuendelee Kuomba, Mwanga Umeanza Kuonekana

    Hii post hadi chozi limenilenga lenga Acha Mungu aitwe Mungu
  8. HHHK

    JamiiForums Tanzania Yerico Nyerere upo wapi mkuu tafadhali ukuje swaiba wako anapelekwa moto

    Hakuna kitu nafurahi kama hii ng'ombe ikitoka pale ikulu
  9. HHHK

    JamiiForums Tanzania FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

    Gawa huo mpunga sasa
  10. HHHK

    JamiiForums Tanzania Serikali izuie matumizi ya iPhone, tulinde maadili yetu

    Kwa kweli mtoa post amenishangaza sana ila umasikini huleta wivu mmbaya sana
  11. HHHK

    JamiiForums Tanzania Serikali izuie matumizi ya iPhone, tulinde maadili yetu

    Pia wivu unahusika mkuu
Back
Top Bottom