Binti we ushakubal na hata kuliwa upo Tayari... Shida ni hao Majirani unahofia watakuonaje na sababu ni kuwa Majiran tayar walishakuona na harakat nyingine. Mwisho Fanya kitu Moyo wako una wiwa kufanya. Kama unaona kabisaa huwez mpea akiomba basi hata ndani mwake usiguse kuepusha Case ya Ubakaji
Kwa nn wasiunganishie wateja Umeme bure kabisaa. Then charge zote ziwekwe kwenye kununua Luku. Mteja anaponunua Luku akatwe kias kidogo cha fedha kwa Muda fulani kama malipo ya kuunganishiwa umeme. Nina hakika hii ingeongeza idadi kubwa zaidi ya watu kupata huduma ya Umeme.
Hiyo Shule ya Msingi Mamba iliyopo Wilaya ya Chunya. mwaka 2005 Wakat nipo Darasa la Nne. Kilipotea kitabu cha kiongozi wa Mwalim cha Lugha ya Kiingereza. Mwalim wa Somo akiwa Cesilia Mdessa. Alooo tulipigwa sana juu ya kile kitabu, Funga kazi ikaja hii ya watu kupiga kura ya Siri kumtaja...
Kwanza hata huko Ulaya sijawah sikia at Arsenal wako Old Trafford wanafanya Training siku moja kabla ya Mechi sio kwa mechi za Ligi Kuu wala FA. Kila siku mnacheza kwenye uwanja huo afu unakuja kugomea Mech eti kwa sababu hujafanya mazoez ya Nusu saa... Upuuzi kabisaa
Ila huwa najiuliza Mbona kama Malaya wanapata.pesa sana, kwa nin wengi wao maisha yao ni yaleyale ya wasaka Tonge.... Au na wao wanaish kama wavuvi kutumia kipato chote kwa kuwa ziwa au Bahari haikauki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.