Recent content by Hey There

  1. Hey There

    Smartphone km mic

    Anarokodi kwenye Video unamsikiaje
  2. Hey There

    Natafuta mpenzi atayekuja kuwa mke (MBAGALA), sina vigezo vingi.

    Moderator usifute neno mbagala kwenye Tittle. Sina mambo mengi ninaweza penda mwanamke yeyote just awe anaonekanika tu (Uzuri Basic), Awe anaishi Mbagala hili isiwe shida kuonana na kuseti hatua nyengine. Sifa nyengine asiwe na mtoto, Umri asizidi 27. ----------- Kwa wakati huu nahitaji...
  3. Hey There

    Crown Media inatoa wapi pesa kuajiri wafanyakazi wake?

    Kwahio swali lako lilikuwa pesa za mishahara wanatoa wapi au mtaji wametoa wapi ??
  4. Hey There

    Crown Media inatoa wapi pesa kuajiri wafanyakazi wake?

    Nimetoa mfano based na content, yeye kasema watangazaji kutoka Cloids, Wasafi kwani watangazaji wote happ Crown ni wakutoka hizo radio wengine si new bie ambao mishara haifiki hata million moja. All uwo mfano weka idadi yotote unayotaka wewe na ujumlishe pesa.
  5. Hey There

    Msaada kazi ya kujishikiza wakati huu

    Safi Mkuu, saponins yako inahitajika ikitokea interview ya kustukiza unaweza kosa nauri. Hapa kwenye Emails nina kampuni zaidi ya tano wanaweza niita muda wowote.
  6. Hey There

    Crown Media inatoa wapi pesa kuajiri wafanyakazi wake?

    Uzi mzima hakuna aliyejibu swali. Jibu: kwa swali lako ilibidi pia uulize pesa za kufungu station wametoa wapi kama ujauliza hili swali maanayake unajua ni mtaji wanajua wao walipoutoa basi hata hio mishahara ya kuwalipa watangazaji ni sehemu ya mtaji kabla station ijaanza kuingiza faida...
  7. Hey There

    Msaada kazi ya kujishikiza wakati huu

    Habari, Kwasasa sina kazi, nilikuwa nafanya kazi kwa wachina mwezi May kampuni ikapunguza wafanya kazi kutokana na sababu za kiuchumi. Mwezi uliopita nime Apply sana kazi bado naendelea kufanya Applications na kwenda interviews mwisho jana kwahili hakuna tatizo na naamini nitapata kazi...
  8. Hey There

    Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

    Ungejua kama hizo kampuni kuna Amount ya pesa wameiweka tu just kwa watu wanokopa mara ya kwanza na kulimbia tu usingeona kama umewakomoa. Maelfu ya watu kama wewe wanakopa na kukimbia mara ya kwanza ila jua kuna Malawi ya watu ambao wanakopa na kulipa. Ni sula la mahesabu zaidi. wao...
  9. Hey There

    Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

    Sidhani kama unawakomoa, kikawaida huyo anakua na wateja zaidi ya 200 wakuawafanyia kazi mpaka wengine ngumj kawafikia wewe hata ufanye lolote kwake haina shida. Kuna dada alikuwa anafanya namsadia kutuma sms kwenye PC yangu wateja 800 anawatumia sms ukijibizananae baada ya dakika hata akukumbuki.
  10. Hey There

    Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

    Kwa aliyesoma mpaka chuo kawaida yeye kaishia form 3
Back
Top Bottom