Watanzania wawili wamekamatwa na zaidi ya kilo 15 za heroin katika uwanja wa ndege mjini Chennai nchini India.
Watanzania hao (Mwanamume na mwanamke) waliofika Chennai kwa ndege ya Qatar Airways 528 kutoka Johannesburg kupitia Doha, kwani hawakupata ndege ya moja kwa moja kwenda Bengaluru...
Kiukweli pale Ubungo external ilipo hii maabara kuna uzembe wa hali ya juu. Abiria wanaachwa na ndege sababu ya ucheleweshaji wa majibu ya vipimo vya Corona. Watalii, Wafanyabiashara na Wageni wanalalamika.
Huu uzembe unasababisha hasara kubwa sana. Watalii na wageni wataacha kuja Tanzania...
Si waruhusu magari binafsi yapewe vibali vya kusafirisha abiria. Hawaoni kuwa mwendokasi haitatosha. Au wanataka mpaka watu waanze kufa vituoni nchi ipate aibu kimataifa. Latra ruhusuni magari binafsi.
Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
Hii ni story tu kama ya zari la mentali lakini haina uhalisia kabisa sema tu kujipoza uan uchungu wa maisha.. Story inafurahisha watu wanavuta picha wanaona wako South na dem mzuriii.... Lakini akili yao Inashindwa kuchanganua akina ya mtu anayeongelewa
Nimezaliwa dar na kukulia dar... Pia hv big exposure outside of Tanzania and African continent.. So usione kama. Nabahatisha. Tena mayor kwa nchi kama South Africa iliyo na high rate of ujambazi... Unadhani mayor atakuwa kama mayor wako akina masaburi au kimbisa. Stop joking na kufanya vitu...
Sijui kama unanielewa... Changudoa ana maisha.... Kajipanga barabarani anajiuza.... Wewe ongelea dem anaishi yuko soko la mitumba tandika mwisho... Hajala. Hana hela ya mama mtilie... Kazalishwa na madereva wa daladala... Vuta tu hiyo picha how she look like
Ndio diwani lakini keshakuwa mayor... Ni sawa na useme waziri ni mbunge... Sawa ni mbunge lakini ndio keshakuwa waziri... Gari.. Nyumba.. Ulinzi... Mshahara.
But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.