Mimi kwa sasa Nina miaka 30 lakini nimehangaika na maisha miaka yangu yote ya huko nyuma kiasi kwamba ikafika mahala nimekata tamaa kabisa
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010 kipindi cha uchaguzi ndo kwa Mara ya kwanza nilianza kusikia neno Freemasonry KIPINDI hicho nikiwa na miaka kama 20 ivi...
Habari wakuu nimekuja na ombi langu nikiwa nahitaji kujiunga na imani tajwa hapo juu kulingana na kuwa nimekuwa nikihitaji muda mrefu nimeishia kutapeliwa na watu pamoja na vikundi vya watu wanaoshirikiana
Nina miaka mitatu tangu nianze harakati za kuhitaji kuniunga lakini bila mafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.