Kibanda kinachohamishika kinauzwa 180000

Kibanda kinachohamishika kinauzwa 180000

Acha maneno leta muziki. Tupia picha.
 
Kibanda kizuri kinauzwa kipo safi kabisa unaweza tumia kwa shughuli mbalimbali kama tigopesa,mpesa,airtel money hakina tatizo lolote kina ukubwa wa futi 6kwa ft 4 kimetengenezwa kwa mbao maalum ambazo haziozi


Location dsm

Sent using Jamii Forums mobile app



Mods naomba marekebisho ya heading isomeke
Kibanda kinauzwa sh 180000 (kinahamishika)
HII PICHA YA KIBANDA NI NZURI SANA,
HASA HUU MPANGILIO WA RANGI ND'O UNAVUTIA ZAIDI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibanda kizuri kinauzwa kipo safi kabisa unaweza tumia kwa shughuli mbalimbali kama tigopesa,mpesa,airtel money hakina tatizo lolote kina ukubwa wa futi 6kwa ft 4 kimetengenezwa kwa mbao maalum ambazo haziozi


Location dsm

Sent using Jamii Forums mobile app



Mods naomba marekebisho ya heading isomeke
Kibanda kinauzwa sh 180000 (kinahamishika)
sasa tunakupataje, Picha je?.............acha upoyoyo
 
Mkuu mbona hiyo mbao ya kushoto imechoka
sana

Sent using Damu ya Yesu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom