Recent content by hery Mike

  1. hery Mike

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Ndugu yangu kila mtu ametoa ushauri mkubwa mzuri Sana ila jibu kuu wanalo utumishi nenda utumishi usiende kokote zaidi ya utumishi kawaelezee concern yako, watakupa ushauri mzuri tu, then ufatilie, boss hanuniwi usigombane nae, mwisho wa siku watamuuliza boss wako utendaji kazi wako na nidhamu...
  2. hery Mike

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

    Mwisho wa siku tuwe na Imani, maneno ya mtu mwngne yasikuvunje Moyo, Amini linawezekana bàsi, tuzidi kupambana wataalamu.
  3. hery Mike

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu ESRA Company

    Kaka ushapata maelezo kuhusu hii kampuni maana na mimi nimetumiwa email yao Leo
  4. hery Mike

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata nguo za mtumba kwa bei nafuu Dar es Salaam?

    Boss samahani ni wapi hawa wachina wanapatikana wanauza haya mabelo, msaada tafadhali..!?
  5. hery Mike

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Fedha: Jinsi ya kutengeneza pesa na kuendelea kuwa juu!

    I need to be the richest, nina malengo makubwa sana katika maisha yangu, i will hustle to my very best efforts by God's Grace, Thanks alot for this Helping advise.[emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. hery Mike

    JamiiForums Tanzania Kijana wa chuo usipoelewa basi tena

    Brother wewe ni mwandishi wa vitabu Nini, umeongea kwa uweledi mkubwa Sana, maneno machache ila yamenifungua kiakili mimi mwanachuo nashukuru Sana kuisoma hii, ntalifanyia kazi.
  7. hery Mike

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa binti unaetamani mume wa kukupenda sana.

    Hv kwann maskini mnajifanya washika dini sana[emoji3][emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom