Recent content by HERUFI KUBWA

  1. HERUFI KUBWA

    Kwanini wanaume mmepunguza kuhonga?

    Umetumwa.wee kaka
  2. HERUFI KUBWA

    Wanawake tunapenda wanaume wenye hela na gari

    Wewe kama mwanaume utoe hela tu,mengine sehemu ya maisha
  3. HERUFI KUBWA

    Story kweli: Nilivyoweza kuwa malaya niliyekubuhu

    Sasa Unanipangia maisha baba wewe kama unataka omba upewe na sio kumwita mshua uongee . Kwanza sitaki sana kumuongelea mshua wangu RIP ameshatangulia.
  4. HERUFI KUBWA

    Story kweli: Nilivyoweza kuwa malaya niliyekubuhu

    Tusameane mimi hata sikutaka kusimulia maana sio jambo la kujivunia ila nataka watu wajifunze kitu na wakiona malaya wasimchukulie poa kuna kitu nyuma yake.
  5. HERUFI KUBWA

    Story kweli: Nilivyoweza kuwa malaya niliyekubuhu

    Kawaida siri ya kambi hiyo.,sasa mimi mwanamke mzuri kama chaupole kwanini nisisumbuliwe kama hizi Shughuli nimeanza zamani japo kwa sasa nimeacha .
  6. HERUFI KUBWA

    Story kweli: Nilivyoweza kuwa malaya niliyekubuhu

    Kesho baba wa mjengo kaingia amekuja kunitembea so haitapendeza kuniona nachart ehhh
  7. HERUFI KUBWA

    Story kweli: Nilivyoweza kuwa malaya niliyekubuhu

    Sawa namshukuru kwa kutoa maoni katika stori yangu kuna bado mengi ya kujifunza hapa.
  8. HERUFI KUBWA

    Story kweli: Nilivyoweza kuwa malaya niliyekubuhu

    Sehemu ya Nne. Naomba Iwe sehemu wa mwisho leo mpaka Kesho. Nikauchuna kama hakuna nilichosikia maana kwanza nimechoka ,nahisi maumivu makali ya mwili pia nina mawazo mengi juu ya hatma ya maisha Yangu yanavyoendeleea . Mwalimu masumbuko akaendelea kuita wee wala hakuchoka kiukweli mimi...
  9. HERUFI KUBWA

    Story kweli: Nilivyoweza kuwa malaya niliyekubuhu

    Sehemu ya Tatu.. Wapenzi naomba mnisamehe sana mimi sio mpenzi wa kuandika maana mara nyingi mimi nashinda Telegram,fb, Instagram kule hakuna kupanga uandishi ila nitajitahidi kuleta kitu kieleweke. Kuhusu mapovu nimeshayazoea ila nataka niifundishe jamii kuwa makini na watoto wao wa kike hadi...
  10. HERUFI KUBWA

    Story kweli: Nilivyoweza kuwa malaya niliyekubuhu

    SEHEMU YA PILI. Kiukweli sikuwa na fanya vizuri darasani ila ninachokumbuka ni usumbufu tu wa kutongozwa,hivyo baada ya migogoro ya wazazi kuendelea na ndipo waliamua kutengana sikuyapenda maamuzi ya wao kutengana pindi sisi tukiwa wadogo hapo mimi niko darasa la saba naenda kuhitimu elimu...
  11. HERUFI KUBWA

    Kwanini wanaume mmepunguza kuhonga?

    Hakuna mwanamke anauza .
  12. HERUFI KUBWA

    Kwanini wanaume mmepunguza kuhonga?

    Jamani wana jf. Nawapenda tena nawapenda sana. Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti herufi kubwa wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu! Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile...
  13. HERUFI KUBWA

    Wanawake tunapenda wanaume wenye hela na gari

    Mwanaume mwenye hela hajigambi hivyo mkuu.ni suala la muda kila kitu kitajulikana
Back
Top Bottom