huo ni mwisho wa imani yako achana na ujinga hata mchawi huomba mungu ndio maana wantembea usiku nawe fata aliyokuamrisha mola wako atakupa njia ya kuepukana na hayo. kuwa bsy na kazi zako
ni kweli kuku ana sumu kali na ukibahatika kuguswa nae ukweli hana matibabu lkn ikumbukwe ni aghalabu sana kumdhuru binadamu inashauriwa ukimfuata wkt wa usiku uwe na taa ama kuguna ili akutambue km ni binadamu ukitaka mf. mkute amelalia mayai/watoto thn mvamie hlf tuletee jibu nb: sumu yake...
pongezi kwa mafanikio ya cm yako fundisho kwa wengine sasa kila m1 ajitahidi kununua cm ya thamani dukani tena yenye wrrnty na security km i fone na blackberry!!!!!!
Tupo ndani ya Jahazi so tusipowapa maji walio chini hakika wataiboa chini ili kutii kiu yao nasi tulio juu hatutonusurika na kifo cha maji ( Tuungane kupinga Ushoga Duniani )
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.