unaongoza gol mbli bila,hata dk ya 70 bado unatoa mtu ambae alikua anafanya kaz kubwa unaweka m2 wa show game
mudathir alicheza vema na himid mao pale kati na kufanya stars kudominate game,coz walielewana sana na ni watu wa kazi full time,kumtoa mudathir kulimuathir mao kwa kua ndemla sio...