Recent content by Hermanone

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Waathirika wa Corona (COVID-19) wafikia 49 kutoka 32

    Waimba mapambio ya kuisifu serikali na kutukana ki;a mwenye mawazo mbadala ongezeni sauti Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

    Jana kuna mwanaccm alipost hiyo habari akiambatanisha na picha mahali nikauliza swali ambalo mpaka sasa sijajibiwa. Kwenye hiyo picha kulikuwa na kadi za wanaoitwa wanachadema waliounga mkono juhudi, ajabu kadi zote zilikuwa na hali mfanano yaani zote zilikuwa mpya. Swali je watu wote hao zaidi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, Dtk. Kigwangalla amtuhumu aliyekuwa Meya wa Iringa, Alex Kimbe kwa ujangili baada ya kuua chatu

    Yule askari aliyeua nyoka mbele ya PM na kupewa zawadi yeye sheria haimhusu? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yapeleka muswada kuzuia biashara ya pombe wala kiwanda. Sheria ikipitishwa, itadhibiti watu kunywa au kukaribia maeneo ya vileo

    Naona wanataka kuirasimisha zanzibar kama Islamic State Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Tanzania Marando na wengineo walipohama kutoka NCCR Mageuzi kwenda CHADEMA haikuwa nongwa, kwanini iwe nongwa kwa waliohamia NCCR?

    Ajabu ni kuwa serikali na ccm wanakihanya chama cha mapopoma hadi kufikia kutangaza kutumia dola kubaki ,adarakani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mkuu wa Wilaya, Patrobas Katambi ampa Masanja saa 24 kujisalimisha baada ya kuwahoji wananchi wa Dodoma kuhusu virusi vya Corona

    Yale yale ya aliyeonyesha ubovu wa jengo udsm kukamatwa, aliyeonyesha shida ya maji udom kukamatwa na aliyeonyesha ubovu wa barabara kusakwa kwa uhujumu. Vioja vinaendelea Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

    Siku yenyewe uliyokuwa unaiulizia imeanza leo
  8. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mpwapwa tumekuchoka Mbunge wetu Lubeleje

    Jana nimemuona huyu babu kwa tv, kang'ooka hadi meno
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mafuriko Rufiji ni tete, Vyombo vya Habari Maalum vinaogopa kutoa taarifa

    Vyombo vya habari haviruhusiwi kutangaza mambo yasiyofurahisha wakubwa. Wanatakiwa kutangaza mambo ya kusifia tu
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

    Ole mushi alitudokeza kuwa komu ana siri za namna mbowe ananavyokula ruzuku, mbona hajazitoa sasa?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Pamba, Korosho Mmeshindwa kununua sasa mnanyang'anya Watu Choroko zao

    Kwahiyo ni kipi bora, hao madalali au vyama vya ushirika vinavyowadhulumu?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Pamba, Korosho Mmeshindwa kununua sasa mnanyang'anya Watu Choroko zao

    Na wakulima wamesema msimu unaofuata hawatalima choroko maana hawako tayari kukopwa mazao yao
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Komu kuongea na wanahabari kesho

    Hapana, yule ni Killeo na sio mbunge
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

    Anaweza kuonekana shujaa kwa wazembe kama wewe kwa kusababisha wananchi wake wengi kufa kwa kutokuchukua tahadhari za kujikinga. siku mkianza kufa kama kuku naomba mje na mapambio haya haya.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Komu kuongea na wanahabari kesho

    Kuna mmoja kakimbia jimbo baada ya kulitelekeza kaenda ukuryani kule nako wamemletea noma
Back
Top Bottom