Waziri wa Maliasili na Utalii, Dtk. Kigwangalla amtuhumu aliyekuwa Meya wa Iringa, Alex Kimbe kwa ujangili baada ya kuua chatu

Ulitoa opinions za kipuuzi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sikutoa opinions bali niliuliza maswali kutaka kufahamu. Wenye kujua walishanijibu na article ya sheria wametoa ili kunisaidia kuondoa ujinga wangu ..
sasa ndugu yangu great thinker ningeomba ujifunze na wewe tofauti kati ya opinions, facts and questions..
 
Sina cha cha cha kujifunza kutoka kwako.
Sikutoa opinions bali niliuliza maswali kutaka kufahamu. Wenye kujua walishanijibu na article ya sheria wametoa ili kunisaidia kuondoa ujinga wangu ..
sasa ndugu yangu great thinker ningeomba ujifunze na wewe tofauti kati ya opinions, facts and questions..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mwaka mbaya kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa kwani baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya Umeya sasa analo lingine.

Baada ya diwani huyo kuchapisha picha kwenye mtandao wa Twitter kuwa amemuua nyoka mkubwa aina ya chatu aliyekuwa anawinda mbuzi wake, Waziri wa Utalii Hamis Kigangwalla amemtaja meya huyo kama jangili na ana kesi ya kujibu.

Kwa mujibu wa sheria zetu ni kosa la jinai kumuua mnyama au denge asiyefugwa bila kibali cha mamlaka husika

Kimbe ajiandae kwa kosa la ujangili na ushahidi upo wazi.

USSR
Labda huyo alikuwa 'Chatu John'

Chatu wa Chattle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Better angemuacha tu, hasa ukizingatia wakati huu Corona inazingua...
Huu ni mwaka mbaya kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa kwani baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya Umeya sasa analo lingine.

Baada ya diwani huyo kuchapisha picha kwenye mtandao wa Twitter kuwa amemuua nyoka mkubwa aina ya chatu aliyekuwa anawinda mbuzi wake, Waziri wa Utalii Hamis Kigangwalla amemtaja meya huyo kama jangili na ana kesi ya kujibu.

Kwa mujibu wa sheria zetu ni kosa la jinai kumuua mnyama au denge asiyefugwa bila kibali cha mamlaka husika

Kimbe ajiandae kwa kosa la ujangili na ushahidi upo wazi.

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wameanza kufukua makaburi _joy__joy__joy_ kosa la  @hamisi_kigwangalla amewaambia wa ( 62...jpg
 
Back
Top Bottom