Waliopoteza maisha yao tayari, huko walipo wataumia sana wakiona tuliobaki tumeogopa kudai haki na uwajibikaji,aluta continua,haki itashinda no matter what.
So huwa unaenda kuonyesha waliokutuma ulichoandika,unapata chako,vipi huwa wanaangalia na umejibiwaje ili waone kama hela zao zinafanya kazi??
Au kama unadhani unatetea maslahi yako kwenye chama,umechelewa kusoma alama za nyakati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.