Recent content by HERBERTH

  1. H

    JamiiForums Tanzania madhara ya posho kwenye vikao

    Imesemekana na kuthibitika kuwa, kwa sasa wananch wengi wanapokaribishwa ktk mkutano au semina ya kujadili mambo ya maendleo, huachakufikilia lile linalozungumzwa na badala yake huanza kufikilia juu ya posho.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mbowe kurindima wilayani Ngara juma mosi trh 17 agost.

    Natoa taarifa kwa wanangara na viunga vyake, kufika eneo la posta ya zamani ili kumskiliza mtetezi wa wanyonge ndugu mh mbowe akiambatana na jembe na mwanasheria tundu lissu kuanzia saa nne asubuhi. Makamanda wote mnakaribishwa ili mweze kupata ukweli wa yale yanayotendwa na serikal ya ccm pia...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

    yawapasa wakazi na matajiri arusha wabadil tabia ili wasiendelee kuacha majonzi kwa familia
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa anga pole bwana, ndio siasa hiyo.

    Sina hakika na hilo
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kongamano la elimu dodoma

    Mwenye kilichojili kwenye kongamano la Elimu leo atujuze wadau
  6. H

    JamiiForums Tanzania Upinzani wilayani Ngara

    nipo nyamiaga
  7. H

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo mwenyekiti wa bawacha wilaya ya lushoto

    Kaugua toka lini kamanda wangu
  8. H

    JamiiForums Tanzania Upinzani wilayani Ngara

    Huu ni mwaka wa 23 sasa toka Tanzania iingie katika mfumo wa vyama vingi lakini wilayani Ngara imeonekana mfumo huu ulichelewa kuingia. Lakini kiukweli mambo yalivyo uchaguzi ujao Chadema wanabeba
  9. H

    JamiiForums Tanzania wabunge na division one

    jana mbunge mmoja wa bunge la tanzania ajinadi kwa kupata division one ya hesabu. Hv kweli kama mh mbunge anaye wawakilisha watu anachemka kutofautisha division one na A kuna haja ya kuwemo bungeni!
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mh Ntukamazina na uchaguzi ujao 2015

    wakati prukshani za kutaka kuingia ikulu zikipamba moto, mbunge wa jimbo la Ngara mh Ntukamazina Aloyce ametangaza kutogombea ubunge jimboni hapo. Hayo aliyasema wakati akiongea na wanachama wa NUSO(wanavyuo vikuu watokao Ngara) tawi la Dodoma mwezi Mei mwaka huu.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    huyo nae ni kapteni wa nini? inavo onesha atakuwa wa mpira. akatoe maelezo na mapendekezo yake TFF na sio Bungeni
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani mzuri wa kumpa mimba mke baada ya ndoa?

    Hakuna wakati mzurikwa watu wote, kwani watu huingia ndani ya ndoa kwa malengo tofati tofauti,
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Dada huyu dereva wa Bus

    Unampenda kwa lengo gani
Back
Top Bottom