Natoa taarifa kwa wanangara na viunga vyake, kufika eneo la posta ya zamani ili kumskiliza mtetezi wa wanyonge ndugu mh mbowe akiambatana na jembe na mwanasheria tundu lissu kuanzia saa nne asubuhi. Makamanda wote mnakaribishwa ili mweze kupata ukweli wa yale yanayotendwa na serikal ya ccm pia kupata elimu ya rasimu ya katiba mpya tanzania