Recent content by HERBERGONER

  1. H

    Mapokezi ya kocha mpya wa Yanga.

    hakuna siku kocha wa yanga kaondok kwa bakora kwa kufungwa na simba mara nyingi zaidi simba inafunga yanga ukilinganisha na makocha na wachezaji wanaofukuzwa na simba wote lao 1 tu si yanga si simba.........
  2. H

    Mapokezi ya kocha mpya wa Yanga.

    kocha gani aliyepokewa kimyakimya tz nawewe julio mwenyewe kapokewa kwa mbwembwe unakuwa ka s**ba kapakatwa nawe si ukae kimya
  3. H

    Jiji la Dar es salaam litakavyokuwa baada ya miaka mitatu ijayo.

    tupicha twenyewe tu tatu ndo bongo hiyo au kijisehemu cha bongo ustaarabu huo hatuna tunapenda matangazo kuliko kazi ahadi nyingi us**ge tu
  4. H

    NAPE, MBOWE NA Dr SLAA KATIKA MAZISHI YA MPIGANAJI BOB MAKANI

    There is nothing wrong laughing or crying doesnt mean ur happy or sad rather moral
  5. H

    Tukisema punguzeni mitungi mnakataa, chekini wenzenu!

    pombe si maji wengine koo zao hazitzki hii makitu kwa imani zao
  6. H

    Mpenda Chongo Huita kengeza

    biashara matangazo chapa ilale hachagui huyo wote abiria wake
  7. H

    Rais amenichefua siutaki tena Ubunge.......Msikie mwenyewe

    Hajawahi kuwa na pointi akafie mbele useless
  8. H

    Sawa ni mrembo ila utakuwa tayari kuwa nae?

    hicho kikobe chini kimetuna poa mazee ndo raha yake kinasaidia ku surf vzr
  9. H

    Kumbe ndivyo ilivyokuwa?

    web ni united damu ndo maana hata babel akiwa liverpool alimtweet na jezi ya united a pure english ref biased
  10. H

    Picha hii inatia uchungu na hasira kwa serikali

    haki haiombwi serikali inalazimika kulipa madaktari na si vinginevyo wkt umefika kwa wtz kusimama imara na kuipinga serikali kwny mambo yanaloligusa taifa
  11. H

    Dkt. Mwakyembe mambo mazito: Ripoti ya ugonjwa wake yaivuruga Serikali

    ni kweli si handsome amekuwa mzee
  12. H

    Picha ya thamani sana!

    huwezi jua kama huwajui watu hawa labda ungeoneshwa unaowajua ungeona muhimu wao wana mapinduzi halisi si chama cha mapinduzi wa uongo saluute che r.i.p
  13. H

    Abiria chunga mzigo wako

    huyu jamaa anaamulia au anachabo tigo kiaina kwa nn asiwavute sina imani lazima kaenda winga ya kushoto anataka piga krosi kisha mtu anatia kichwa tu na bao watu katiiiiii
  14. H

    ohhhhh Men

    mtoto wa nyoka ni nyoka huyu dogo fatilia wazazi wake utajua iko damuni hulka hiyo nenda uswazi ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni
  15. H

    Joe Frazier dies aged 67

    jiwe langu pumzika kwa AMANI................JOE
Back
Top Bottom