Mapokezi ya kocha mpya wa Yanga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapokezi ya kocha mpya wa Yanga.

Discussion in 'Jamii Photos' started by jchofachogenda, Jul 5, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Haya ndio mapokezi ya kocha mpya wa Yanga. 125.JPG 126.JPG 127.JPG 128.JPG
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yanga wana vituko, ukiondoa minziro... hakuna kocha waliompokea kimya-kimya

  maximo yupo wapi tena?
   
 3. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu nia yako sio nzuri kabisa,watu washatulizwa na maumivu wewe unalianzisha.Maswali yako magumu hayajibiki.
   
 5. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Afadhali, labda atawasaidia kupunguza ufungwaji wa magoli matano.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nisamehe kamanda

  nilikua nakusanya dots tu
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hizo ndiyo zetu wabongo!! Jamaa mwenyewe anaonekana Jasusi!! anyway, ngoja tusubiri atakavyogeukwa, kaja mwenyewe atarudi mwenyewe.
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ubingwa wa Africa huo unanukia
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Manji Manjiiiii.
   
 10. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mwaka gani?maana hata tiketi ya kushiriki mashindano ya kimataifa hauna.
   
 11. B

  BLB JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kweli mkuu wabongo hatuna, afu mi nahic tatizo sio makocha,
  cjui tatizo nn
   
 12. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tatizo hatuna mipango ya muda mrefu. Hebu fikiria tu kidogo mkuu wangu, kuna vijana pale jangwani chini ya miaka 17 wananolewa ili baadae waje kuingizwa kwenye team ya wakubwa? Jibu ni kuwa kama wapo basi ni kwa kinafiki tu si kwa mipango mikakati ya ushindi.
  Hizi team kubwa kama yanga na simba zina wanachama kila kona. Swali: Ni bahati iliyoje kwa timu kuwa na mashabiki wengi kiasi hivyo, lakini viongozi wake hawajui ni vipi wawashirikishe kuziendeleza timu zao zaidi ya kujipa mashavu na kupigana majungu kila timu inaposhindwa bila kurudi kwenye vyanzo vya tatizo.
  Kitu kingine ni huu mtindo wa kujipendekeza kwa matajiri kama Manji kisa mfadhili! what the hell is this? Haiwezekani team nzima pamoja na kuwa na mashabiki wote hao hawana mawazo ya kujiondoa na hii minyonyoro ya mtu mmoja kuwa kama ndo mwenye kuimilki timu, wengine wakabaki kupiga makofi na kubebeshwa mizigo na pengine wanatumiwa kama daraja tu. Kuna namna nyingi za kuiongoza klabu bila kutegemea mtu mmoja aaafor 100% kila kitu {lazima awafanyie anavyotaka yeye} Mfano: Kuza vipaji, weka standards za mshahara kulingana na hali ya uchumi pamoja na kuweka mikakati yakitaalamu ya kukusanya mapato kwa kuwashirikisha wadau na wanachama. Tuchukulie tu Yanga leo hii ingekuwa na vijana wa soccer academy kutoka kila mkoa, nani angekataa kuchangia ile team 500 - 10000TZS watu wangetoa bila kuuliza inaenda kufanya nini. Wanamatawi mengi ya wanachama, lakini ukiuliza yanakazi gani? utaambiwa ni wakereketwa au wanapiga mavuvuzela. Hatuna viongozi wabunifu, ni wachumia tumbo kama ilivyo kwa TFF, wanaendesha tu kwa mazoea.
  Navyojua mimi, mchezo wa soka ni dynamic game! its a living inakuwa kiwango vile vile inashuka kiwango! kwa hiyo lazima tuwe na mawazo ambayo ni dynamic yanayoweza kuforecast miaka hata 20 ijayo kuwa mchezo wa soka utakuwa unachezwaje, unaendeshwaje na utakuwa unahali gani ya kupendwa.
   
 13. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli TZ ni kichwa cha wendawazimu!!!! Kocha ndio kwanza mpya, hatujaona mafanikio yake akiwa Kocha wa Yanga tunampokea kwa shangwe kama shujaa...as kama amefanikisha mchezo bora na wenye matunda kwa Yanga!!! Agrrrrrr...
   
 14. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Simba: tukiwapiga kiganja tena wataanza oooh, huyu kumbe sio kocha ni fundi rangi, oooh tumehujumiwa, oooh hajui
   
 15. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Yanga hawatabiriki, Sijui kama huyu mzungu anajua siku timu ikafungwa na watani wao ataondoka kwa bakora?
   
 16. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mgeni lazima apate mapokezi mazuri ili ajue kuwa nyuma yake kuna watu wanaotegemea mengi kutoka kwake.
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hivi huyu mzee anawajua yanga huyu.....atasahau mabegi hayo siku ya kuondoka mwache alete mbembwe tu
   
 18. H

  HERBERGONER Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kocha gani aliyepokewa kimyakimya tz nawewe julio mwenyewe kapokewa kwa mbwembwe unakuwa ka s**ba kapakatwa nawe si ukae kimya
   
 19. H

  HERBERGONER Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna siku kocha wa yanga kaondok kwa bakora kwa kufungwa na simba mara nyingi zaidi simba inafunga yanga ukilinganisha na makocha na wachezaji wanaofukuzwa na simba wote lao 1 tu si yanga si simba.........
   
 20. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,855
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Amekaa kipadre padre hivi. Kocha kweli? Au safari hii mmetuletea mchungaji
   
Loading...