Recent content by Hepatis B

  1. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Video: Wenye wake zenu wanaoenda gym kuna ushauri wenu huku

    Hata sio gym sehem yeyote ile wanawake wanajiuza.
  2. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Serikali chukueni hatua juu ya mabadiliko ya tabia nchi

    Wito umetolewa kwa Serikali kuongeza juhudi katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambazo zinaendelea kuathiri maisha ya wananchi, uzalishaji wa chakula, afya, mazingira na uchumi wa nchi. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la matukio ya ukame, mvua...
  3. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara ya Uvutaji Sigara

    Mbona serikali inauza tu. Au haioni hayo madhara? Babu yangu alikuwa anavuta tumbaku sana. Alikufa na miaka 105 haya maisha hayatabiriki kabisa.
  4. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Licha ya usaliti Mkubwa alionifanyia Bado namuhitaji tena kama mpenzi wangu

    Dah yaani nikuona mtu anahangaika na mapenzi namuona hana shida kichwani.
  5. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Leo Hispania atajua kuwa jana siyo leo!!: Go Cape/Cabo Verde Go!!

    Hawezi na anaweza toka makundi. Mpira anamilik sana ila hana winger wenye kasi kabisa ndo maana jamaa wamewamudu.
  6. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Leo Hispania atajua kuwa jana siyo leo!!: Go Cape/Cabo Verde Go!!

    Alidharau sana aliona ni simple match sana kwake. Timu ikifudhu w cup sio ya kuchukulia poa.
  7. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Leo Hispania atajua kuwa jana siyo leo!!: Go Cape/Cabo Verde Go!!

    Mpira ukifuatilia ni kama somo la sayansi kimu enzi zetu. Ila ukibeti kwa hisia na maepenzi physics ikasome.
  8. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

    Wasitupangie maisha watuache na mishe zetu.
  9. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa wakuu wa majeshi juu ya mauaji na utekaji wa watanzania inatupa picha kuwa hatuna viongozi sahihi kwenye jeshi

    Hapa ni kuishi kwa ukimya tu usiingie kwenye 18 za hawa jamaa. Kama una hela ishi kimaskini watu wasikujue. Meli inaendeshwa na chizi jifanye mjuaji.
  10. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Masheikh Hili litapita Hila Heshima Yenu Haitarudi

    Masheikh kiukweli mnaona mnaitetea Serikali na mnaamini hili likipita serikali itawalipa shukrani. Ukweli ni kwamba mmewaweka waislam mahali pagumu sana. Imani yetu kwenu inapotea kila kukicha. Naamini sasa mbingu ni kujipigania mwenyewe hamna sheikh anaweza kukuongoza kuiona mbingu wengi wapo...
  11. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Hivi kukifanyika mgomo wa kutokwenda kazini, kutoshiriki jambo lolote la kiserikali badala ya mbinu ya maandamano haitakuwa rahisi kweli kufikia lengo

    NI kuhakikisha kitaa hamna jezi ya mboga mboga na kuwashughulikia wote wanafiki wote kimya kimya iyo ndo hatua ya kwanza.
  12. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shida hapa Tanzania ni mkakati tu

    Habari wadau. Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli kabisa. Uwezi kushinda umaskini kwa maneno. Lazima kujituma na kuwa na mipango. Watu wananguvu sana ila...
  13. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kijana mwenzangu nakushauri lakini uamuzi utakuwa juu yako na ikiwa ni lawama basi utazielekeza kwako mwenyewe

    HIvi unazani babu zetu wangekuwa wanafiki kama wewe wakoloni wangekuwepo hadi leo.
  14. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kijana mwenzangu nakushauri lakini uamuzi utakuwa juu yako na ikiwa ni lawama basi utazielekeza kwako mwenyewe

    Huna hoja ya msingi. Wewe ujielewi tu upo upande gan ssm au wapambanaji
Back
Top Bottom