Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa...
Mama Maulidah Anna Komu amefariki dunia. Alijiunga na Chadema mwaka 1993 akitokea CCM. Chadema ilimpa fursa mbalimbali za uongozi ikiwemo Ubunge wa viti maalumu, Waziri kivuli wa maendeleo ya Jamii, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini, na baada ya kufariki kwa aliyekua Mwenyekiti wa Bodi ya...
Ameandika Ansbert Ngurumo kwenye Mtandao wa X
Mwandishi wa habari ALOYCE NYANDA anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Bugarama (Kata ya Bugarama kijijini Ilogi) Geita. Walimkata jana huko Kakola. TUHUMA: Kufadhili kikundi kiitwacho "Tanganyika Freedom Fighters (TFF)."
Muda wowote kuanzia sasa...
Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa...
Papa Leo XIV amezungumza haya leo, Aprili 13, 2026 kwenye denge, wakati wa Safari yake ya kuelekea Algeria, ikiwa ya kwanza Barani Afrika. Hii ni kwa mujibu wa Tovuti ya Catholic News Agency.
Kauli hii inakuja muda mchache baada ya Donald Trump kudai Papa Leo XIV ni dhaifu, hapendezwi na...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, katika Parokia ya Kagunguli Bunda Mkoani Mwanza, kijana mmoja alivamia Kanisani kwa nia ya kumuua au kumjeruhi Paroko wakati wa adhimisho la misa takatifu ya Pasaka, leo Aprili 5, 2026.
Wakati akitaka kupandisha ngazi za Patakatifuni alizuiliwa na kutolewa nje...
Baada ya kusambaa kwa tetesi zinazodai zaidi ya watu 200 wamefariki kwenye machimbo ya Msasa Geita, jeshi la Polisi limekanusha taarifa hizo kwa kueleza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha.
Tetesi za tukio hili zipo hapa >>> Wachimbaji zaidi ya 200 wahofiwa kufariki huko Geita Machimbo ya...
Anaandika Aloyce Nyanda:
Pole mkurugunzi wa jambo Tv online ndugu John Marwa kuwa Makini zaidi huu ni mtego wa mwisho
Taarifa nilizopata toka vyanzo vyangu leo tarehe 5 ni kwamba kamati ya muudhui ya TCRA imewapa ONYO KALI JAMBO TV, kwa mujibu wa Kanuni ya 21 (2) (3) (a) ya Kanuni za maudhui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.