Recent content by henya

  1. H

    Tumuunge mkono rais Magufuli

    Nazani ungesema awe anajipanga kuongea maana kila akiongea lazima sintofahamu
  2. H

    Ilichokifanya Serikali kupitia Kamati ya Maafa mkoa wa Kagera ni wizi wa uaminifu

    Chama chetu kinaiba hadi misaada ya wahanga
  3. H

    Natafuta Dr. Bingwa wa magonjwa ya wanawake Dar es salaam

    Nimeuliza maana kuna hospital nilienda c vema kuitaja doctor nlioambiwa kuwa ni specialist hakua vizuri katika fani hiyo ndio maana nilikua nataka kufahamu kupitia watu waliowahi kutibiwa na specialist yeyote mradi awe mzuri katika fani hiyo
  4. H

    Natafuta Dr. Bingwa wa magonjwa ya wanawake Dar es salaam

    Jamani naomba kujua ntampata wapi dr. Bingwa wa magonjwa ya kina mama hapa dar es salaam na gharama zake za kumuona hadi huduma msaada wapendwa
  5. H

    Mwanamke baada ya kujifungua, nini kifanyike apunguze tumbo

    Na kama umeshazaa watoto wawili na tumbo limelegea kuna uwezekano wa kurudi katika hali ya kawaida kama ulivokua hujazaa?? Na nn dawa ya kutoa michirizi ya tumboni? Mana naskiaga na yenyewe inalegeza tumbo
  6. H

    Mwanamke baada ya kujifungua, nini kifanyike apunguze tumbo

    Ivi inawezekana mwanamke baada ya kujifungua tumbo lake likawa gumu kama zaman?? Na ni nini chakufanya ili yale manyama nyama ya tumboni yaishe yani tumbo liache kulegea na kucheza cheza?
  7. H

    Jeshi la Polisi chukueni hatua kwa wanaosema Rais hajui kiingereza

    Kwa hili la kuongea kiswahili kwa presida namuunga mkono kabisa japokuwa mambo mengi anafanya sikubaliani nae ila hili yupo sawa kingereza cha nini wakati tunakiswahili
  8. H

    Kwanini Lipumba anautaka tena uenyekiti wa CUF, alisahau nini?

    Analipwa na chama cha mafisadi
  9. H

    Aliyepitisha mradi wa Mlimani City achunguzwe japo ulikuwa na manufaa

    Kwa mwendo huu hakuna msafi msafi ni aliye madarakani
  10. H

    Polisi: Baadhi ya nyumba za kulala wageni zimekuwa zikitumika kuhifadhi magenge ya wahalifu...

    Duh kwaiyo ukiwa na demu wako polisi wakiingia wakasema ni malaya utabisha nini, wanajaribu kupinga ila wanakamata kweli
  11. H

    I ain't your mama

    Kwani we uko na uyo girlfriend wako ili akufanyie izo kazi zako? Mbona kama ni kazi mtu yeyote anaweza kufanya you have to be serious
  12. H

    Kauli ya Mbowe kuahirisha maandamano ya ukuta Septemba Mosi

    Mods sikuizi wanakadi labda za CCM wameshachukua upande
  13. H

    Bruno Kims aliyefungwa kwa kufurahia mauaji polisi Stakishari atoa pole Vikindu

    Bahati mbaya hao hawawezi kushikwa wala kushtakiwa
  14. H

    Hivi Steve Nyerere bado tunamuita Msanii?

    Ubuyu ndio nini maana mi najua ubuyu ni mwanamke mwenye makalio makubwa sasa nikisoma comments za ubuyu na shindwa kuelewa[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
  15. H

    Tanzania Airports Authority

    TAA kazi za muda izo walio wengi mnapata kwa kupachikwa na ndugu zenu hapo bila vigezo, watu wanapata kazi kwa kujuana tu, angalia wengi wenye ajira za muda mfupi lazima ana undugu na mtu flani mkubwa japo wapo wachache wenye kupewa kulingana na uwezo ila wengi ni kujuana pole sana kwa...
Back
Top Bottom