Recent content by henry normal

  1. henry normal

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Msaada wakuu Kwa aliyewai kuomba NIDA online hatua ni zipi, na Je Kuna kulipia? Kama malipo yapo, unalipia nini na unalipa kiasi gani?
  2. henry normal

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kibanda maalum kwa kuuzia nguo, kina matairi

    Creativity chukua 100%✓ kabisa
  3. henry normal

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ivi betpowa ndio Iko vizur Kwa sasa au
  4. henry normal

    JamiiForums Tanzania Tamaduni Music Punchlines Special Thread

    Ivii n upcoming gan anaishi utamaduni Kwa sasa
  5. henry normal

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inatoa
  6. henry normal

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umetisha
  7. henry normal

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kwema ndugu, Naomba kufahamu majina ya waliobahatika sensa upande wa morogoro washatoa. Mwenye nayo naomba link
  8. henry normal

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa nzuri ya Malaria kwa mtoto Miaka minne

    Kwema waungwana, Naomba kufahamu ukiitoa dawa ya mseto ni dawa gani nzuri ya mararia kwa mtoto wa umri wa miaka minne(4)?
  9. henry normal

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki(haojue) ipo sokoni Morogoro

    Kwa sasa
  10. henry normal

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki(haojue) ipo sokoni Morogoro

    Aina kipengele. Chombo imecmama unawasha na kuondoka Bei 1.5 mazungumzo yapo kidogo Ipo Morogoro 0624720144
  11. henry normal

    JamiiForums Tanzania Je, Amplicox hutibu UTI?

    Nmekuelewa ndugu
  12. henry normal

    JamiiForums Tanzania Je, Amplicox hutibu UTI?

    Asante
Back
Top Bottom