Wapendwa Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata division three ya 14 .naishi katika mazngira magumu naomba jamani nipate msaada wa support walau wa kuendelea na diploma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani wapendwa, mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata division three ya 14. Nahitaji msaada wa kuendelea na elimu sababu naishi kwenye maisha magumu. Walau nipate mtu wa kuni-support kusoma diploma.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.