Recent content by henry frank

  1. henry frank

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Kama ccm wanashindwa kuwahudumia wanachama wao vip wasio na vyama vipi tena wapinzani.
  2. henry frank

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF (2025): Tanzania Miongoni Mwa Nchi 10 za Afrika Zenye Deni Kubwa la IMF

    Tatizo ni hawa watanganyika mtandao wanampa nguvu
  3. henry frank

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ikishinda, ni chama kipi cha upinzani kitaibuka nafasi ya pili na ya mwisho kwenye uchaguzi ?

    Uchaguzi mkuu ni mpaka 2029 0ctoba na mwenyekiti wetu atashinda kwa kishindo
  4. henry frank

    JamiiForums Tanzania Maskini Dk. Ummy Mwalim amemkosea nini Samia

    Duhh kama ni kweli akae mbali na siasa kwa sasa mpaka ayoke
  5. henry frank

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Vita ya Urusi na Ukraine. Imeshtua watu wengi sana. Hali inatisha

    Anachofanya Russia sasa ni kurusha makombora kwa makusudi kwenye miji na kuua watu wasiokua na hatia.
  6. henry frank

    JamiiForums Tanzania Kama CCM hawatatimiza Bilioni 500 kwenye harambee yao nipigwe ban ya maisha

    Nasubiria nione Bakwata watatoa sh ngapi.
  7. henry frank

    JamiiForums Tanzania Trump, Putin kukutana Alaska kwa mazungumzo ya vita vya Ukraine wiki ijayo

    Ah wapi? Miamba 2 ya dunia kwa sasa ni USA vs CHINA. urusi uchumi wake ni sawa na jimbo la texas
  8. henry frank

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

    Sio kwamba inapendwa ni kwa sababu imehodhi madaraka kwa nguvu
  9. henry frank

    JamiiForums Tanzania Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa.

    Vita pekee iliyobaki kwa sasa duniani ni moja tu kuangamizana kwa makombora ya nyuklia
  10. henry frank

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli Ikulu ya Dodoma haipendezi, Ukame na hali ya jangwa kunaifanya isiwe na mvuto wa kimuonekano

    Hata kama ni ukame kwani wanashindwa kumwagilia kila siku
  11. henry frank

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    makocha wa Spain wakikutana na wa Italy huwa wanakalishwa
  12. henry frank

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa hapo Trump baada ya kukabidhi kombe angetakiwa ashuke.
  13. henry frank

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Putin anasema ukraine ni yao sasa mbona anaua raia ovyo.
Back
Top Bottom