Recent content by helper P

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Safi mkuu, Pathology uliipitia vzr..,hongera sana kwa ufafanuz mzur
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Sijakuelewa mkuu hapo kwenye hepatisis.....,,badala ya hepatitis...., nahitaji ufafanuzi wko mkuu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yoyote akitaka kufanya mapenzi wakati wowote anapata ila sio mwanaume

    Aise nilikula kona moja matata sana....,, n bora kukaa na ugwadu ila cyo kwenda kwa yule
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yoyote akitaka kufanya mapenzi wakati wowote anapata ila sio mwanaume

    Waligongana ofcn au.., kuna chumba maalum ofcn kwenu cha kugegedeana???
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yoyote akitaka kufanya mapenzi wakati wowote anapata ila sio mwanaume

    Mm nimewahi kuombwa na mwanamke..., Kwenda kumgegeda ila mmmh sura na shepu yake SIRI yangu....,so msishangae wapo wanawake wanaoomba
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mademu siyo kila uonapo karatasi geto lazima utupe

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mademu siyo kila uonapo karatasi geto lazima utupe

    A" haiwezi kubadilika kuwa "B
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mademu siyo kila uonapo karatasi geto lazima utupe

    Katupa karatasi ya mkeka wa laki mbili na 74 so sad kbs, cjui kwanin alikuja
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mademu siyo kila uonapo karatasi geto lazima utupe

    Madem na mwanamke n kitu kimoja..,sema tunatumia majina mengi kuwaita
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mademu siyo kila uonapo karatasi geto lazima utupe

    Wanatupa nauli zao bila kuelewa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mademu siyo kila uonapo karatasi geto lazima utupe

    Ttzo usawa mkuu ndo maana tunaamua kuchana mikeka tu, tunaoza na degree zetu mtaan
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mademu siyo kila uonapo karatasi geto lazima utupe

    Mademu mkienda geto kwa boy friend zenu mnapokuwa mnafanya usafi siyo kila karatasi ukiona lazima utupe, ukiona: Man U ..lose Arsenal ov2.5 Chelsea..win Man city..win Usitupe, hiyo ni nauli yako yakurudia kwenu.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kueleshwa huyu ni kijana wa jirani kwenye akaunti ya chuo iko hivi

    Hahahaha 2008 nilikuwa form two mkuu, m nimemaliza Bachelor yng pale sua 2016.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kueleshwa huyu ni kijana wa jirani kwenye akaunti ya chuo iko hivi

    Sawa mkuu, sorry nilikosea vp ww upo sua au mzumbe??
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ni mwanasiasa gani aliwahi kukudanganya uongo wa wazi ukauelewa?sitakusahau Lowassa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hashimu hashimu bhn
Back
Top Bottom