Recent content by Helmut

  1. H

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Hapo anakiri udhaifu katika utawala wake, na anakiri pia udhaifu wa mfumo wa kiutawala. Kikwete alitakiwa kujiudhuru na kuwajibika kwa ajili ya makosa ya waziri wake mkuu kama waziri mkuu alvyowajibika kwa ajili ya makosa ya waliokuwa chini yake. Kikwete ni pooradminstrater.
  2. H

    Facts: Kwanini Magufuli kamshinda Lowassa ndani na nje ya CCM

    Ukijumlisha masaa hayo toka tuanzie 1977 mpka leo walizotumia kufafanua ilani hizo ni mengi sana, lakini matendo je. Badala ya kutuletea maji yaliyoko kwenye ilani zao ( toka 1977 ilanni ya uchaguzi maji yamo), badala yake wanatuletea magari ya washawasha na mabomu ya machozi ambayo hayamo...
  3. H

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Mbona magufuri naye ni hivyo? Ile nembo anayoitumia kwenye mabango yake ile m yenye mkono ulioshika mwenge ni nembo ya free mason.
  4. H

    CHADEMA Chukueni hatua dhidi ya Dr. Slaa na Mzee Mwanakijiji haraka sana

    Umeiangalia kwa undani ile M ya kwanza yenye mkono wenye mwenge? Ile ni logo ya freemasos, na huwezi kukopi na kupaste bila kula maagano nao. Hawa nadhani wanaungana nao huko. Hatutaki rais aliyeweka agano na masons na kutumia nembo yao kama chatter yake
  5. H

    Kingunge kakurupuka, Polisi nao wamekurupuka kifo cha Mtikila

    Gari imetoka barabarani zaidi ya mita mia. Huna akili tu ya kujua alikuwa na kasi gani? Halafu hakufunga mkanda. Nadhani mnadhani kuwa ajali na kifo vinachagua watu.
  6. H

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Gari haiachi njia na kupinduka kwa sababu ya tairi kupasuka tu. Inaacha nji kwa makosa ya kwenye gari na makosa ya kibinadamu. Hapo ilipoangukia panaonekana ni mbali kidogo na barabar, na hiyo ni dalili ya speed kalu, na kama ni saa 11 alfajiri, ina maana walisafiri usiku, usingizi. Ajali...
  7. H

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Mmesahau chenchi ya rada? Kila kitu hapa tanzania kinanunuliwa na hao wanaofanya manunuzi mara tatu ya bei yake. Meli, vivuko, barabara, nyumba za serkali, na si ajabu na wewe ulifoji risit. Mfumo ndiyo shida, huwezi kumpata mtakatifu. Lengo ni kuubadilisha mfumo unaofanya ufisadi, madawa ya...
  8. H

    Kumbe wabunge wa CCM waliahidiwa mafao makubwa kupitisha muswada wa gesi!

    Ile sheria ya gesi hata sisimizi wasingeipitisha
  9. H

    Logo ya hapa kazi tu

    Hili bango la hapa kazi tu limekaakaaje? Limecopiwa na kupaste toka wapi? Namaanisha ile logo ya M na mkono ulioshika mwenge?
  10. H

    UKAWA wamepoteza mwelekeo wamekosa ajenda waamua kutengana rasmi

    Makada wa ccm walioleweshwa mvinyo wa propaganda kivukoni ccm college, wanaosema maneno ya wenzao, wanaopindua ukweli chini juu. Unaposema ukawa mafisadi, nchi ina rushwa, na ccm ndiyo iliyopo madarakani, ina maana wameshindwa na dhaifu. Mna polisi, jeshi, mahakama, na bado mnalalamika ukawa ni...
  11. H

    Bulembo aendelea kuvuruga amani Makambako

    Mbona walikuwa wametulia kabla swali hilo? Kosa alilofanya ni kimkashifu baba yao baada ya kutambua uwepo wao. Ilitakiwa awamwagie sera ili wahame, ni kukosa akili huko
  12. H

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Ni Mtikila huyu huyu aliyeleta sera za kibaguzi za magabachori au mwingine? Watoto wetu wanaharibika kwa munga kwa sababu ya mfumo mbovu, hao wanaoutetea mfumo huo ndio wazalendo. Kenyeta aliwaambia wakenya anayesema yeye mzee wakamwulize mama ngina(mama yake uhuru),kwani yeye anang'ang'ania...
  13. H

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Mnakumbuka kuwa huyo ndiye aliyeleta sera za kibaguzi za magabachori?
  14. H

    CHADEMA kimenuka Mbeya

    Nadhani ni robbot hilo,unalicommand kwa kubonyeza vitufe
Back
Top Bottom