Recent content by Hellen23

  1. H

    T.I.A: Usajili unaanza Oktoba 6

    Jamani for those new students wa T.I.A registration tar 6 oct. Na tar 13 oct kitabu kinaanza, for more information visit T.I.A website
  2. H

    NACTE na bodi ya mikopo

    utapata usijali kwasababu hata board huwa kuna batch mbalimbali
  3. H

    Kwa aliye na jiko la oryx 6kg nahitaji

    vidole vimeteleza ndugu yangu
  4. H

    Kwa aliye na jiko la oryx 6kg nahitaji

    Nipo dar, naomba anipm kwa aliyenalo
  5. H

    Mikopo kwa wanafunzi wa Diploma 2014|2015

    kwakuwa diploma holder wote ni watoto wa Bahresa, acha hizo bwana kila mtu na bahati yake, wewe wa form six unaweza usipate akapata diploma holder, usikatishe watu tamaa
  6. H

    Upweke usikufanye ukaumiza mioyo ya watu

    nashukuru sana mkuu,
  7. H

    Upweke usikufanye ukaumiza mioyo ya watu

    teh! teh! teh! Kweli wewe ni tabibu mtaratibu, thanks for your advice.
  8. H

    Upweke usikufanye ukaumiza mioyo ya watu

    Hayo yako Tanmo, au ndo tabia yako
  9. H

    Upweke usikufanye ukaumiza mioyo ya watu

    Huo ulikuwa mfano ndugu yangu.
  10. H

    Upweke usikufanye ukaumiza mioyo ya watu

    Habari wana MMU. Kuna jambo linaumiza sana watu, utakuta mtu ili kuondoa upweke ametafuta boyfriend/girlfriend ambaye siye chaguo lake, watafurahi vizuri na nini na nini. Baada ya muda mtu anamwacha girlfriend au boyfriend kisa amepata chaguo lake, anamwacha mwenzie kwenye maumivu au hata...
  11. H

    Tatizo kuhusu usajili wa NACTE

    Wasiliana na Nacte mapema,
Back
Top Bottom