Habari Wana jf,
Naomba msaada wenu mdogo wangu anasumbuliwa ovarian cyst, Sasa mwezi wa saba alipimwa utrasound ukawa na cm 3.5 hakupewa dawa yoyoye, walisema utaisha wenyewe.
Sasa juzi maumivu yakawa upande wa kulia akatumia azuma na fragile Leo kaenda kupima hosp wamekuta ana uvimbe upande...
Hello,
Naomba msaada WhatsApp yngu imegoma kufanya kazi, kila nikijaribu kuirudisha inadai account is being on a registered new device! Nisaidien niirudishe vipi.
Habari za mchana,
Naomba usaidizi kwa wataalam wa macho haya maelezo ya Dr yanaelezea mgonjwa anatatizo Gani?
Maana kapewa miwan lkn akitembea anaona km mabonde mabonde afu vitu km vimebinuka.
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Asante ,ila naomba kujua kumbe inawezekana kbs mtu kufanya hvyo hvyo hata km gari imefungwa?maana nimeingia wasiwas isije kua funguo zinaingiliana siku wakaja wakaondoka nayo!
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Habari
Naomba mnisaidie kinielewesha,usiku wa Leo nimeibiwa betri ya Gari, na nilikua nimefunga milango nashidwa kuelewa Kuna njia nyingine ya kufungua boneti Kwa nje jmn maana sijawah kujua hili
Na ndani ya gari kulikuwa na hela na nimezikuta ,hii inanifanya nijue ndani ya gari hawakuingia!
Yan Nikila vitu vyenye ukali panauma sana au nikishinda njaa naumiaa kweli,
Kumbe unaweza kua na VIDONDA VYA TUMBO Maumivu ukapata SEHEMU nyingine naomba kujuzwa hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.