Recent content by HEKIMANIUHURU

  1. H

    Muundo wa Serikali ya awamu ya tano

    Naunga mkono mkuu, lakini angeongeza wizara moja ya mambo ya muungano. Pia manaibu wasiwepo. Tuwe na mawaziri 16 tu.
  2. H

    Ufoo Saro na Malumbano ya hoja

    Nikweli kabisa mkuu, nilidhani nimeliona hili mwenyewe kumbe nawe umeiona. Huyu dada kapwaya sana.. Na hafai kuendesha hiki kipindi maana ANAJIONA,MJUAJI, MBISHI na analazimisha wachangiaji wafikiri anavyofikiri yeye. # ITVFUKUZAUFOOSARO
  3. H

    Angalizo kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!

    ukweli mtupu KING COBRA or whoever you are, you are a great thinker indeed! naungana nawewe tusiwe wepesi wa kuhukumu wengine plus tuamini mtu anaweza kubadilika na kuwa msaada. like the way Lowassa amefanya, believe it or not the guy has taken a huge risk, is a life and death situation to him...
  4. H

    Lowassa is 'Dead' Politically

    Watch out, unajijibu mwenyewe mkuu!
  5. H

    Lowassa is 'Dead' Politically

    U wish.. Why does it concern you if he is dead? What in it for u man
  6. H

    CCM Badilisheni Mbinu CHADEMA ni Sawa na Kisiki cha Mpingo

    Akili rahisi hujadili watu, lakini akili kubwa hujadili mawazo chanya.
  7. H

    Mbowe: Polisi tukutane Mahakamani ila siwapi Ushahidi

    Mkuu King Kong III, siyo hivyo tu Mwigulu alidai Arusha mkichagua CHADEMA mtakufa, na watu wamekufa yeye wala hata haguswi kwa lolote, credibility ya police ni zero kwa hili.
  8. H

    Mpiga debe wa Kampeni za Ubunge wa Mbowe Ajitoa Rasmi CHADEMA na Kurudi CCM

    Namashaka, lakini ndo siasa.. The one who plays smart ndo anaeshinda. Mikakati ya ushindi wa 2015 si mchezo. CCM mnadanganywa sana as i can see this thing quite the opposite.
  9. H

    Mbowe: Tendwa hana ubavu wa kuifuta CHADEMA

    kinywani na moyoni ni lila na fila. Pole.
  10. H

    Chadema wapanga kuvuruga uchaguzi, red brigade kutumika!

    Naona unatueleza jinsi mlivyo panga, poor CCM. Aminini Maneno haya CCM imeshakataliwa yaani mpo tu kama kaburi linalong'aa nje lakini ndani mifupa.
  11. H

    CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

    Kama usivyojua tofauti kati ya "r" na "l" vivyo hivyo hujui kwamba CCM ilishakufa sikunyingi tuuu, hivi sasa mnatapatapa tuu kwa ajili ya tumbo.
  12. H

    LIVE UPDATES: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya ukombozi - MANZESE

    safi sana CHADEMA, wakati wengine wana kamatana ugoni (maana ndiyo marupurupu ya shetani) nyie endeeleeni kuwaeleza Watanganyika kweli.
Back
Top Bottom