Recent content by HekimaniBusara

  1. HekimaniBusara

    Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Mnatifuliwa na serikali, tatizo si watanzania waoga. Ila naelewa uoga, ambacho hakieleweki ni kutetea upuuzi wa viongozi kutishia wanaanchi kwa sababu ya kufahamu na kusimamia haki zao. Ila nina swali, uelewa wetu wa amani ni nini? Kwa sababu nahisi wengi wetu hatulijui hili, kuwaondoa wakoloni...
  2. HekimaniBusara

    Kutoandika Habari za Paul Makonda Mauzo ya magazeti yameshuka ghafla

    Illiteracy at its best. Funny how the internet just about any airbrain can get in. Wauza unga dunia nzima, tangu lini wakakamatwa kwa kiki? unamtaarifu mharifu kesho ajiwasirishe kituoni, na abebe evidence au? don't be daft. Yeye ndo aliwasaidia wauza unga wafiche evidence, ingia darasani...
  3. HekimaniBusara

    Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

    But remember that is a projection, not a fact. IMF warned that that projection might not come to be realised; Read this article from Reuters by IMF IMF warns Tanzania of downside economic growth risks
  4. HekimaniBusara

    Manunuzi aliexpress posta wameniambia mpaka niwe na slp

    Samahani naomba niulize, hivi aliexpress ushawahi order na wao ukapata mzigo? nilitaka niwatumie lakini nikawa na wasiwasi. TIA
  5. HekimaniBusara

    Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    asiyeshaurika? kumbuka ushauri kwa mkulu ni kupangiwa. na yeye hapangiwi
  6. HekimaniBusara

    Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    haahaha.. walikuwa hawana kesi, lazima bashite wa kolomije angepaswa aende kotini, amemstili mwanae tu. Sio kusave ney
  7. HekimaniBusara

    Magufuli siyo mnafiki, Magufuli sio mjinga. Ana uhakika wa kurudi madarakani 2020

    wanaotumia mitandao tanzania marked in a 'red' box. Ndo maana anakuwa paranoid na 'vijipost' vyenyu. '7,590,794' kwenye mitandao..kati ya hao '3,700,000' kwenye facebook. Umoja ni nguvu!
  8. HekimaniBusara

    Tetesi: Sakata la Makonda, Clouds na Nape kutua Bungeni na kupotelea huko

    Aaah, oh now I get your thought process. Moral standing is invalid, so if I witness lets say a child being raped and the victim apparently 'hasn't filed'. Only the court can confirm that is a crime. CCTV is not hear say, words are hear say. And we wonder why people are pulling out guns...
  9. HekimaniBusara

    Tetesi: Sakata la Makonda, Clouds na Nape kutua Bungeni na kupotelea huko

    Laughable! and he is a god I suppose this ministe you sayr, so his word goes. I live in a world of information and discern from it what makes sense and what doesn't. I can never be blind to humanity out of fear or for the masses. It doesnt take a genius to know, a crime was committed and I saw...
  10. HekimaniBusara

    Tetesi: Sakata la Makonda, Clouds na Nape kutua Bungeni na kupotelea huko

    Did you watch Ruge on clouds 360..didnt he go to even central policestation to give a statement au? JAmani first go do your research (youtube is a good start, you do know how to use that rigt), stop coming at me with baseless retorts. The international journalists community wouldn't pick it up...
  11. HekimaniBusara

    Tetesi: Sakata la Makonda, Clouds na Nape kutua Bungeni na kupotelea huko

    I have seen a not so fuzzy video, tofauti na inayo sambaa mitandaoni. And unless Makonda ana twin, thats all the evidence we need. Simu ya tecno na iphone ni sawa? haya kaka, cctv quality pia inatofautiana na version. Read more... We are in 20...freaking...17. wacha akili za karne ya 18...
  12. HekimaniBusara

    Tetesi: Sakata la Makonda, Clouds na Nape kutua Bungeni na kupotelea huko

    Tuliwahi kuwahukumu walimu kwa kumshambulia Mwanafunzi kwa ushahidi wa Video ya mtandaoni Hii video ingine si Ushahidi? Tunasahau Haraka mno
  13. HekimaniBusara

    Tetesi: Sakata la Makonda, Clouds na Nape kutua Bungeni na kupotelea huko

    Next to being caught redhanded, cctv footage is the most damning evidence there is. huyu twin makonda would be forced amlete mahakamani to refute the cctv footage. And it takes a peanut brain like you to believe in tht shit you just wrote.
Back
Top Bottom