Recent content by hehehe

  1. H

    Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

    Naombeni msaada nilikua nataka curl hair lakini haya mafuta ya afrogel yamefanya nywele zinyanyuke na zimekua mbaya watabe naombeni maelekezo labda nimekosea matumizi
  2. H

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    oy niambieni Korean drama yenye heartbreaks au yenye sad endings nilie
  3. H

    vp

    oza hii ni sehemu pekee ya kutoa povu ka unanidisi funguka
  4. H

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    drama ya while you were sleeping ina utoto mwingi
  5. H

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    kwa ambaye hajaona LOVE IN THE MOONLIGHT... hii ni kali iliifanya hadi moonlovers isipate watazamaji wengi kama walivyodhania nawashauri muichek
  6. H

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    duh ningezaliwa Korea tu ata kama after life kama inaexist
  7. H

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    hawa watu wanalipwa hela nyingi kinomaaaa najuta kuwa mtz yani US dollars 14000 per episode huyo ni Suzy naye ni wa 10 kwenye rank huku jpm kasema mshahara ushushwe Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  8. H

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Yule star wa kiume kwenye uncontrollably fond ni kweli anaumwa na kansa
  9. H

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    mazee Suzy anajua naichek uncontrollably fond nackia mwisho inahuzunisha ka moonlovers ila dah dem ni hatar
  10. H

    First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

    mashuleshule nyie tatzo madftari yanatawala bongo zenu we soma ud. .UDOM. .sua..kokote mwisho uwe na maarifa ya kuweka kitu tumboni
  11. H

    hair styles

    naombeni msaada nilikua nataka curl hair lakini haya mafuta ya afrogel yamefanya nywele zinyanyuke na zimekua mbaya. watabe naombeni maelekezo labda nimekosea matumizi
  12. H

    Ulikuwa unalijua hili?

    haina faida yoyote kujua hili
  13. H

    Popular Quotes

    umepotea na hutaki kuuliza wewe ni maku by ney wa mitego
  14. H

    curious

    pump siku hizi nayo ni sumu aya kameze wewe upasuliwe
  15. H

    Inachosha

    vijana wa bongo kufika chuo na miaka 20 na zaidi wakati nchi zlizoendela wanafka wakiwa bado hawajafikisha huu umri hali mbaya zaidi ni wazazi wa enzi hizi kulea watoto katika mifumo ya kitaaluma za shule na kutowashirikisha katika mambo ya msingi ya kijamii fikra zilizopana zitafumbuka...
Back
Top Bottom