Habari mkuu, nmepitia huu uzi, na mimi ni muhanga wa ili jambo aise! Nina siku ya nne tigo wananizungusha toka nifanye malipo ya Tigopesa master card kwenda High commission of canada, pesa yangu imekatawa kwenye tigo laki tatu na tisini elfu, uku nakolipia huduma sijapata malipo wanasema...
Hawa wafaransa mapumb.... sana yaan sio Olympic Marseille, Olympic Lyon wala huyu mbwer PSG wote manyani tuu, toka jana wanakosesha watu ela wao tu
Sent from my 5033X using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.