Recent content by Hechy Essy

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Kama hujaweka slab juu ya kibaraza, tafuta wire mesh au BRC upigilie juu ya mbao za dari. Kama mwizi akitoboa gympsum board, akutane na kizuizi kingine. Pigilia misumari ya kutosha Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Namna ya kujua size ya chumba unachotakiwa kujenga 1. Andika vitu vyote unavyotegemea kuwa navyo katika hicho chumba mfano kitanda, meza, kabati, show case n.k 2. Andika size ya hivyo vitu vyote mfano kitanda 5ftx6ft au 6ftx6ft, meza 2.5ftx4ft, kabati 1.5ftx6ft n.k 3. Chora mpangilio wa vitu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Kesho ijumaa na weekend yake (jumamosi na jumapili) kutakuwa na offer ya punguzo la bei kwa asilimia 20. Lakini pia kama una ramani yako na unahitaji usimamizi katika zoezi la kuset jengo ili jengo lako lijengwe sawa sawa kabisa na ramani inavyoonekana basi tuwasiliane.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Cubic meter 1 ya zege (ambayo ni sawa na ndoo 50 za lita 20) ina uzito wa kilo 2400 (sawa na tani 2.4). Unapoweka zege mahali hakikisha unaweka support za kutosha zitakazoweza kubeba huo mzigo, vinginenyo itakuja kukutia hasara (vuta picha umemwaga slab yako, na baada ya dakika kadhaa support...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Hata kama una kiwanja kidogo, tuwasiliane nikutengenezee plan kulingana na ukubwa wa kiwanja chako.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Tofali moja kwa tofali moja, unajenga kwa kuzipishanisha, inakuwa ni 45cm kwa 45cm end to end. Kila kozi moja inakuwa na tofali moja na kipande
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Ndio idadi ya kozi haziwezi kuwa sawa, na sio lazima ziwe sawa kwa sababu kùta haziungani, cha msingi tu inatakiwa kuta zote juu ziwe level moja kwa hivyo utabalance unene wa udongo wakati unakaribia kufika juu (mfano kozi 5 kabla ya kufika juu). Ukushafunga mkanda wa juu, kozi za juu...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Tofali unazilaza
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Yah, upana utakuwa ni 23cm. Kina cha mkanda kinatakiwa kizidi upana kwahivyo unaweza ukaweka kina cha 30cm inatosha. Nikisema kina namaanisha depth ya beam
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Pia inawezekana ila tu kuna vitu vya kuzingatia ikiwemo aina ya udongo, ubora wa tofali zitakazotumika kujengea karo, unene na ratio ya zege la slab, spacing kati ya nondo na nondo lakini pia ni vyema ukafunga mkanda ili nondo za slab zipate sehemu ya kuzifungia kuliko kulala juu ya kuta moja...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Ni sahihi na inawezekana, nchi 5 na nchi 6 ni unene wa tofali (urefu na upana kwa tofali zote ni sawa) kwa hivyo hakuna shida yoyote katika makutano ya hizo kuta. Alichokushauri fundi nilishawahi kukiandika humu siku za nyuma, ukitumia tofali za nchi 6 katika kuta za nje utaweza kutumia dirisha...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Hapana, hiyo maana geti lako unaliweka sehemu ambayo gari itakuwa inaenda moja kwa moja eneo la kupark bìla kukata kona, vinginevyo itabidi uache nafasi kubwa zaidi
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Hapo ni sawa na viwanja viwili vya mita 19 kwa 25, na mita 19 kwa 20 Ili usiharibu eneo lako, nyumba usiiweke kati kati ya kiwanja. Chagua eneo moja wapo kati ya hilo la 19x25 au la 19x20 ili eneo lingine ufanyie mambo mengine (kama kujenga nyumba za kupangisha, kufugia n.k) Mbali na hivyo...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Kiwanja chako kina mita ngapi kwa ngapi? Na nyumba yako pia ina mita ngapi kwa ngapi?
Back
Top Bottom