Kaka kwa mujibu wa story zako naona hao wanawake hakuna uliyemkuna vzr, wanawake ukiwapiga kipande kisawasawa hakuna zarau na hata wakiolewa ukimtaka una mpata, pole utakua haupo vzr kweye kupiga vipochi manyoya
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Shilingi ya tanzania itaendelea kuimarika hasa ukizingatia serikali imeondoa matumizi yasiyo ya lazima ya dollars kwa manunuzi ya ndani ya nchi,
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Ni kweli Dollar imeanza kushuka na shilingi ya kitanzania imeanza kuimarika hi kwa sababu kuu mbili
1. BOT ilikua na mnada wa hadhara wa dola na ilinunua dola za kutosha ili kukidhi manunuzi mbalimbali
2. Mapema mwezi 11 serikali ilianza kununua dhahabu ambayo itaiwezesha serikali kuuza na...
Hao ndo madoctor wa tanzania kutoka kijiji cha Idimi, Mbozi mkoa wa mbeya,Nikujulishe tu zipo sababu nyingi za kuwa na uvimbe kwenye shingo, kuna ukosefu wa madini, kuna ukosefu wa vitamin, kuna sababu tele
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Watanzania hua ni wachoyo na wanafki sana, Ukitoa elimu ya kitu kizuri wanatafuta makosa tu ilimradi wakosoe na wengi wao wanataaluma hiyo au mafundi wanajisikia vibaya watu wengine kujua,
Nani asiye jua kama tofali la kuchoma na block lina vipimo tofauti,
Kaka umetoa elimu kubwa sana na kosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.