Recent content by Hebro

  1. Hebro

    Waziri Mpango: Rais Magufuli amenipigia simu kuhusu michango ya Bashe na Nape Bungeni

    Mashushushu ndio wanao mpelekea habari
  2. Hebro

    Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Muhimbili wasiojulikana wapo wengi tuu , Mungu anafanikisha atatibiwa na atapona Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Hebro

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Hao wote ni njia moja tuu, usijifanye unaisafisha serikali, Hadi kufikia kiasi kwamba mtu anapigwa risasi hadharani au kuoneshwa bastola hadharani unadhani , Kuna amani nchi hii, au Kuna usalama? Eti asiyejulikana..!!!![emoji41] Tuseme tuu , anayeogopeka.....maana asingeogopeka ....Yule aliye...
  4. Hebro

    Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

    4-0, it's Janga[emoji3][emoji3]
  5. Hebro

    Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

    Angalia vizur Majina meng ya kiswahil yanayoanza na Y kwa English yanaanza na J Mfano; Yusuphu=Joseph Yohana=John Yesu= Jesus Yakobo=Jacob Yoel=Joel E.t.c Therefore; bila kupoteza mda...
  6. Hebro

    Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

    Angalia vizur Majina meng ya kiswahil yanayoanza na Y kwa English yanaanza na J Mfano; Yusuphu=Joseph Yohana=John Yesu= Jesus Yakobo=Jacob Yoel=Joel E.t.c Therefore; bila kupoteza mda...
  7. Hebro

    Muamala wa Lowassa hatarini

    Ccm ndo walio honga ITV
  8. Hebro

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Unajua mfa maji haishi kutapatapa, ndo kama slaa baada ya kukosa kupewa nafasi ya kugombea urais
  9. Hebro

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Dr.slaa kafulia huyo, alikuwa na njaa ya hongo ya ccm
  10. Hebro

    Lowassa agonga Mwamba

    Hao ni machinga wanamuonesha lowasa jinsi gani ccm imewanyanyasa
  11. Hebro

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    CCM wote mmefulia petrol subirini kiberiti kwenye sanduku 25/10/2015
  12. Hebro

    Lowassa kwa Tanzania ya sasa!

    Mimi mchango wangu upo kwenye AFYA , ninapotoa Huduma kwa wagonjwa nao ni mchango.but mchango mkubwa ni system ya serikali inayotawala ndio huwa tunaitegemea lakini kwa CCM ni sifuri
  13. Hebro

    Lowassa kwa Tanzania ya sasa!

    Kwa kula yangu miaka yote nikitumai ccm itabadilika lakini ni zero
  14. Hebro

    Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    Sasa wanaosomba watu in ccm maana huku songea walienda kuwashawishi wakuu wa secondary wawaruhusu wanafunzi wapelekwe kwenye mkutano wa magufuli, wakawaambia wengine wataveshwa sale na wengine watvaa kilaia , na mabasi yalikuwa yakiwasombelea.AIBUUUUU...
  15. Hebro

    Lowassa kwa Tanzania ya sasa!

    Ccm ikisepa ndipo mabadiliko yataonekana, miaka yote ni ahadi zisizo na tija. Tumechoka
Back
Top Bottom