Sijaona mahala pameandikwa vijana kutoka Mbweni au Masaki. Ushawahi kusikia matajiri na familia zao wanaanguka majini au wameenda kuombewa kwa Mwamposa na kutoa sadaka za kujimaliza? Kuna umbali mfupi sana kati ya umaskini na mambo ya ajabu ajabu. Hizo madrasa ziko wapi? Ni muda gani yanafanyika...
Ile siku Waziri wa michezo anatoa hotuba kuhusu mkataba wa jezi wa taifa stars na Sandaland the Only One alimwambia Karia atulie kama kuna issue awaambie wao na alisema Karia alilalamika kua kuna watu wanamtisha tisha. Wale jamaa walifungua kesi kupitia yule Wakili wao mnyoa pank sijui kesi...
Timu inapambana japo kwenye eneo la striker bado tuna shida kubwa. Baada Henry baadae V. Persie na Giroud sijui kama tumewahi kupata tena striker wa maana mnaweza kunikumbusha. Magoli yetu mengi yanatokana na teamwork na yoyote anafunga. But kushuka ubora kwa wapinzani wetu ni kete nyingine...
Misimu iliyopita tuliaminishwa Azam hua inaonewa na waamuzi ili Simba na Yanga wawe mabingwa. Kwamba Simba na Yanga wanakua mabingwa kwasababu ya maamuzi ya kibinadamu. Msimu huu FVS ipo na tayari Azam kashapasuka mara mbili na draw mbili. Yani kwa kifupi kwenye mechi 11 tu tayari ashapoteza...
Kuna misimu tulishindwa kubeba ubingwa kwa kutokua serious. Sasa hivi unaona mentality kuanzia kwa bench la ufundi adi wachezaji wanajiona kabsa wao ni timu ya kupambania ubingwa na sio top 4 ya kucheza UCL. COYG 💪🔥🔥🔥🔥
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.